Kumbe kazi ya Polisi inalipa sana, sio njaa kama watu wanavyoisema

Jiulize idadi ya polisi hapa nchini ni kiasi gani nani wangapi wanapata fursa za kulinda mabenki na taasisi nyingine zinazotoa posho na marupurupu?

Kuna askari wengi huwa wanabaki vituoni kama back up na kukaa pale kaunta kusubiria watuhumiwa ili wawapokee tu, hawa hawana cha posho wala marupurupu.

Ni askari wachache sana wanaofaidika na posho, rushwa n.k na hao ni wapelelezi wa kesi, wale wanaozunguka kama doria na wale wa barrier . A

Askari polisi anayeachwa kwa ajili ya kulinda kituo bila mshahara hawezi toboa.
Chief huyo mwan ananiambia yeye kila sku yupo lindo bank kwa hio kwa mwez anazikamat lak 3 za lindo ya bank na San yupo mabank ya mbagal huko kituo chake Cha kaz

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
IPO hivi wengi wanaoponda kazi za serikali wanatakwimu za mishahara ya Miaka ya nyuma sana saivi angalau ipo
Ndio hivo mkuu maan huyo mwana ananisifia sana tu kuwa wapo vizur na ndio yupo lindo bank na nikamwambia Mbon baadh ya askari wanalalamika hata ktk magroup Yao ya whatsup ananiambia hamna hiko kitu wanenjoy tu mshahar lak 6 posho lak 3 kuna ya vinywaj kuna posho ya bank anajikuta yupo mbali

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Wizara ya mambo ya ndani IPO hivi
1.Polisi
2.Magereza
3.Uhamiaji
Malipo yao yapo hivi
Polisi anayeanza mshahara ni 487000
baada ya makato anapata 398000
Tarehe 15 kila mwezi 300000posho
Baada ya miezi 3 kuna pesa ya vinywaji 300000 amabapo kwa mwezi ni laki laki
Jumla ni 398000+300000+100000=798000
Ukiwa lindo bank kwa siku ni 40000 lakin unatoa kwa bosi chochote....ukiwq form fix katika mshahara watakuongezea 80000 Kama umekiz vigezo Chao

2...Magereza Mshahara ni wa form 4 ni 515000 baada ya makato 420000
POSHO 300000
PESA YA VINYWAJI 300000
KILA MWEZI 100000
pesa ya kuchaji lindo 20000 kwa siku Moja lakini hii mara Nyingi askari anajirudia
Jumla 420000+300000+100000=820000

3.Uhamiaji katika kiuongozi wao ni wa mwisho mshahara 4900000
Posho 300000
Vinywaji 3000000
Hawa semina zao zinapesa kwa siku 40000 na kuendelea
387000+300000+100000=787000

Kumbuka pesa za semina semina sijaziweka hapo

JW
MSHAHARA 605000
BAADA YA KODI 480000
POSHO TARE 15 380000
YA VINYWAJI. 100000 PER MONTHLY
LEVEL 3 CORSE 80000
JUMLA 480000+380000+100000=960000
MKONONI

TANAPA ANAYEANZA 1.6 MILLION
BAADA YA MAKATO 1.2 M
POSHO KWA SIKU 80000 DORIA
 
Kuna mwana ni Askari constable ila ni Kidato cha 6 ila ananiambia huko kunalipa sana kwa sababu yeye yupo kwenye Malindo ya bank kila siku na anaingiza chochote kuliko hata uhamiaij

Anasem mshahara upo vizur kuna maposho kede kede na yanalipwa kwa wakati. Yeye anasem ni kidato cha 6 ila kwa mwez anaingiza Milioni hivi na mwakani huenda ashapig hatua

Anasema watu wanaiponda Polisi kumbe hawaijui kiundani ukiangalia yeye ni mtu wa Malindo ya bank tu.

Hivi ni kweli au ananisifia tu?
...Kujua Utamu wa Ngoma, Ingia Ucheze !! ...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom