Miaka yote saba Azam wanatoka kipima upepo kwanza Rwanda nahisi wamechomoa.Ikiwa subscribers watakua chini wataondoka.Kenya bado ni watumwa wa EPL hivyo inaweza kuwachukua muda kujua thamani yaohio bil 23 ni kwa miaka 7 au per year....?
Miaka yote saba Azam wanatoka kipima upepo kwanza Rwanda nahisi wamechomoa.Ikiwa subscribers watakua chini wataondoka.Kenya bado ni watumwa wa EPL hivyo inaweza kuwachukua muda kujua thamani yaohio bil 23 ni kwa miaka 7 au per year....?
Bakharesa kajichanganya ...wa kenya hawaipendi ligi yao , ila nampo geza kwa kuwavimbia wa shenzi hao wa 254 wana dharauView attachment 2734403
Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba.
Hii ni hatua njema kwa kukuza ligi za ukanda wetu. Wakenya toeni support kwa Azam media, mtafurahia sana.
Viva Azam.
Viva Tanzania.
Viva East Africa.
===
Pia soma - Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro
Azam akikaza buti na kuwekeza kwenye camera bora na matecnichian wazuri atampita DStv
Kenya ukiongea English wewe ni tajiriKenya na Zambia wana vipaji vingi ila ligi zao hazina ubora na zinanuka umaskini wa kutisha. Mfano Zambia wana vipaji vya kutisha ila ligo yao ya ndani ni ya kimaskini kupitiliza.
Hadi utajiri wake unafika hapo ulipo ujue haendeshi mambo kwa kukurupuka and so called "Kujichanganya".Bakharesa kajichanganya ...wa kenya hawaipendi ligi yao , ila nampo geza kwa kuwavimbia wa shenzi hao wa 254 wana dharau
Akili ya Mfanyabiashara haiwazi unavyowaza. Kupitia unazoita dharau mwenzako ndio anaenda kutengeneza pesa.HAO WAKENYA WANATUDHARAU...LEO MNAENDA KUWATANGAZA ILI WAONEKANE...!!!....BAADA YA MIAKA MIWILI WAZEE WA FURSA WATASEMA LIGI YAO BORA.
AZAM ONESHENI ILI MPATE MPUNGA ILA MJUE ALALAE USIMUAMSHE UKIMUAMSHA............!!
Mkuu unajua ubora wa Matangazo ukiongezeka na bei za vifurushi zinaongezeka?Azam wanakimbilia kuongeza biashara huku wanasahau kuongeza ubora wa matangazo yao.
Wasilete tamaa zao za kushika kila biashara, huku wakitupatia matangazo ya hovyo.
Nyasi bandia zimeshapitwa na wakatiAweke kipengere cha pitch ya nyasi bandia kwa kila kiwanja ambacho atachoonesha mechi yake
Maskini siku zote huwa ana wivu na chuki moyoni mwakeWakenye hawakawii kuanza kusema Azam Media ni ya Mkenya