Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,334
- 5,838
Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia
Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa miamba iliyoingia CL ni kadi mbili tu ambazo zimepata engagements kubwa sana
Na hapa namanisha likes,retweets na comments
Mpaka muda tunapokwenda mitamboni,ubao unasomeka hivi kwa upande wa likes kwa timu zote kumi na sita:
Yanga ana likes 7292, Simba 4577, Mamelodi 2885, TP Mazembe 2719, Jwaneng 1830, Medeama 1824, Al Ahyl 1746, Pyramid 1711, Wydad 1311, Asec Mimosas 1175, Al Hilal 1082, ESS Tunis 982, Atletico Petroleos 869, ESS Tunisia 800, CR Belouizdad 730 na aliyefunga orodha ni chama langu toka Mauritania FC Nouadhibou 448
Kimahesabu hapo admin wa CAF atapata maokoto mengi kupitia kuziposti habari za Simba na. Yanga hivyo hiyo pia ni njia nzuri kwa hivi vilabu viwili kuajulikana zaidi Kwa kuwa vitakuwa vinaandikwa zaidi kwani vinauchamgamsha sana ule ukurasa
Naomba Mungu Simba na Yanga zifike hata nusu fainali,hii itatupa muda mwingi wakujibrand
For more information Unaweza cheki viambata hapa chini.