Search results

  1. F

    simu hizi na mapenzi jamani...

    unachat na mpenzi wako...mambo yakawa hivi: wewe: hey mpenzi, unafanya nini?? mpenzi: aaahhh...niponipo tu darling mechoka kichizi najiandaa kulala hapa, vipi wewe baby? wewe: nipo club honey, infact nimesimama hapa nyuma yako .. ungekuwa ndo weewe umebambwa au wewe ndo umembamba mpenzi...
  2. F

    ndio maana akabadilika.

    wadau,kuna mshikaji mmoja alikuwa na mpenzi wake ambao kwao walikuwa masikini sana...mkaka yule alikuwa anampenda kweli mpenzi wake yule, tena kwa dhati...akachukua jukumu la kumsomesha yule mwanamke anzia form one, kwani kwa yule mshikaji kulikuwa na hela, hivyo kwa utu wema alishirikiana na...
  3. F

    katiba mpya izipe mahakama uhuru wake.

    wadau katika hii katiba mpya naona ni vyema iwapo ibara za 108(2) na 109(1)(8)(9)(10)(11)zikasawazishwa, kana kwamba, raisi asiwe wa kuchagua principle judges wala commitee ya majaji.....either wizara ya sheria ndo iteuwe tena kwa kuangalia vigezo na uwezo wa huyo mtu kuwa judge.....si mtu...
  4. F

    maumivu baada ya tendo

    wadau hebu nipeni jibu la hili swali....huwa nasikia wadada wengi katika stori zao wakisema pindi wanapomaliza kushiriki tendo la ndoa huwa wanaumia sehemu ya chini ya tumbo....hii husababishwa na nini??????ni ugonjwa ama hali tu ya kwaidaa?
  5. F

    Masomo haya yangewekwa kuwa core subjects....

    Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
  6. F

    Mwanamke zingatia usafi.....

    jamani eeehh.....jifunzeni usafi na hasa hasa usafi wa sehemu special mwilini....wakati wa kuoga, jisafishe sana sehemu za marekani...tumia maji ya uvuguuvugu na ujichambishe.....sabuni nyingi si usafi,hakikisha unanawa na maji mpaka pale ambapo husikii tena utelezi utelezi....ikiwezekana ingiza...
  7. F

    Judicial system ya tanzania

    Is the judicial system of tanzania an independent one?????? Sytem za uendeshaji wa shughuli za mahakama za tanzania ni system huru?
  8. F

    Katiba ya 1977 R.E 2005

    Art. 37 ya katiba hii huwa naisoma lakini bado cjaipatia ufumbuzi....eti raisi anaweza pokea mawazo na ni idhaa yake kuyakubali au kuyakataaa.....na ndio maana alikataaa mawazo ya muswada wa katiba mpya kisha baada ya malalamiko meengi kweli akaamua ku re"consider" the decision...cant these...
  9. F

    Uamuzi wa SAUT-MWANZA wa wasichana kutokuvaa suruali,je ni sahihi?

    seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa leggings na ku 'boost' boobs lakini suruali?mmmhmmm.....hebu lets get to think about it...skirts wadada wa...
Back
Top Bottom