Masomo haya yangewekwa kuwa core subjects....

F

Frankness

Member
66
0
Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
222

Maisha yatakua magumu. Kwasababu haiwezekani mtu anataka kusoma udaktari akasome history haiwezekani
masomo matatu (PCB, PCM, HKL, HGK na nyengnezo) ni mzigo tosha kwa mwanafunz, then na mwanafunz umuongezee na mengne utakua mtihani
 
Advocate J

Advocate J

JF-Expert Member
3,894
1,250
Upuuuzi mtupu ,acha kuweka ushenzi wako humu jf nenda huko fb yaani mijitu mingine uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake unaweka upuuzi humu jamvini
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
4,416
0
yanasaidia kutanua wigo wa maendeleo kiakili na kiuchumi pia.....
haa?? (kama kawaida natanguliza sorry kwani haya ni mawazo tu) hivi history itasaidia vipi maendeleo ya kiuchumi,haswa hii history tunayosoma form o level na a level(si kwa nia mbaya ni kwa maana sielewi na nnataka kujua)...kwa mawazo yangu,walau ingekua ni economics tena iwe basic kwa non majours itasaidia,hata maths hasa BAM kwa wale wa arts na sciences ambazo hazina maths kama pcb,hata masomo ya kilimo na ujasiriamali naimani ingekua afadhali...
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
4,416
0
Maisha yatakua magumu. Kwasababu haiwezekani mtu anataka kusoma udaktari akasome history haiwezekani
masomo matatu (PCB, PCM, HKL, HGK na nyengnezo) ni mzigo tosha kwa mwanafunz, then na mwanafunz umuongezee na mengne utakua mtihani
hujakosea ila kama ni maths isingekua pure maths ingekua hata BAM haswa kwa hawa wa arts..inakua ngumu sana hasa kwa wale tusio soma hata BAM alafu unakuja chuo unakutana na hesabu tena muda mwingine kama pure..njoo huku vyuoni ndio utaelewa nini nnachosema..hayo masomo yawepo ila iwe ni basic au introductory!!!
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
4,416
0
Upuuuzi mtupu ,acha kuweka ushenzi wako humu jf nenda huko fb yaani mijitu mingine uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake unaweka upuuzi humu jamvini
hahahhahahah kijana upooo??? embu niambie itakuaje mtu aliyesoma HGL akapangiwa BAF je hatasoma maths?? na kama hana idea ya maths itatokea nini??
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
222
0
hujakosea ila kama ni maths isingekua pure maths ingekua hata BAM haswa kwa hawa wa arts..inakua ngumu sana hasa kwa wale tusio soma hata BAM alafu unakuja chuo unakutana na hesabu tena muda mwingine kama pure..njoo huku vyuoni ndio utaelewa nini nnachosema..hayo masomo yawepo ila iwe ni basic au introductory!!!
Kwa BAM ngumu kweli kwa wanafunz waliosoma art.
But for me sijawahi kusoma history toka nipate fahamu mpaka sasa nipo chuo
 
S

Suma mziwanda kageye

JF-Expert Member
214
0
Mtoa mada uwezo wakufikir mdogo.wewe history inakusaidia nin?gs 2 a'level mi naona ifutwe
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
4,416
0
Kwa BAM ngumu kweli kwa wanafunz waliosoma art.
But for me sijawahi kusoma history toka nipate fahamu mpaka sasa nipo chuo
ni ngumu hilo halina ubishi...ila mgonjwa hachagui dawa...inakua meaningless unakimbia hesabu alevo alafu unaikuta chuo....iwepo tu hiyo bam na iwe subsidiary tu...naimani itasaidia tena sana....
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
16,357
2,000
Masomo ya muhimu ni historia na kiswahili kwisha hizi nyingine ni mbwembwe tuu
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
25,399
2,000
Kiengereza kwa ajili ya interview za kazi na matumizi mengine.

Hasabu kwa ajili ya kunoa ubongo uwe active na sharp kwenye maisha.

Hayo mengine mbwembwe tu na kuongezeana unnecessary mizigo.
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
14,800
2,000
Upuuuzi mtupu ,acha kuweka ushenzi wako humu jf nenda huko fb yaani mijitu mingine uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake unaweka upuuzi humu jamvini
mpiga msuli, kanuni za jF zinasema 'respect other members'
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
14,800
2,000
Kiengereza kwa ajili ya interview za kazi na matumizi mengine.

Hasabu kwa ajili ya kunoa ubongo uwe active na sharp kwenye maisha.

Hayo mengine mbwembwe tu na kuongezeana unnecessary mizigo.
Biology je?
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
14,800
2,000
hujakosea ila kama ni maths isingekua pure maths ingekua hata BAM haswa kwa hawa wa arts..inakua ngumu sana hasa kwa wale tusio soma hata BAM alafu unakuja chuo unakutana na hesabu tena muda mwingine kama pure..njoo huku vyuoni ndio utaelewa nini nnachosema..hayo masomo yawepo ila iwe ni basic au introductory!!!
Basic Maths ilikushinda, BAM je? Unafikiri BAM ni simple?
 
Forum statistics

Threads
1,424,752

Messages
35,071,445

Members
538,073
Top Bottom