Katiba ya 1977 R.E 2005 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba ya 1977 R.E 2005

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Frankness, Feb 10, 2012.

 1. F

  Frankness Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Art. 37 ya katiba hii huwa naisoma lakini bado cjaipatia ufumbuzi....eti raisi anaweza pokea mawazo na ni idhaa yake kuyakubali au kuyakataaa.....na ndio maana alikataaa mawazo ya muswada wa katiba mpya kisha baada ya malalamiko meengi kweli akaamua ku re"consider" the decision...cant these powers be reduced? or isn't this "uraisi wa kifalme"???
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais, n.k. Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 9; 4 ya 1992 ib. 12; 20 ya 1992 ib. 4; 34 ya 1994 ib. 6; T.S. Na. 133 la 2001 *
  (1) Mbali na kuzingatia masharti yaliyomo katika Katiba hii na katika sheria za Jamhuri ya Muungano katika utendaji wa kazi na shughuli zake, Rais atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote, isipokuwa tu pale anapotakiwa na Katiba hii au na sheria nyingine yoyote kufanya jambo lolote kulingana na ushauri anaopewa na mtu au mamlaka yoyote.

  Mkuu sidhani
  Hii inamzuia rais kupokea mawazo ya mke wake usiku wakiwa nyumbani na akaja kuyafanya ndio maamuzi asubuhi yake na ndo maana waliliona hilo
  Maana hapo wanasema mtu yoyote na hapo hata mke ni mtu yoyote na inapotokea kuwa mke amemshauri kamfukuze kazi waziri fulani kwa kuwa hapatani nae rais anazuiwa kuchukua maamuzi kama hayo
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3

 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama anashauriana na mkewe usiku wakiwa kitandani halafu kesho yake anatoa maamuzi kulingana na hayo mashauri ya/na mkewe, hilo linathibitishwaje?
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu hatuna uwezo wa kujua hayo ila tunaangalia mambo mengine kwa macho ya kawaida tuu kama kuna bias au vipi
  Ila hilo nalo ni ngumu kuingilia wala kujua maana anaweza pia kupokea ushauri wa mkewe na kesho maamuzi yakawa yamepitishwa
   
 6. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Okay, sasa kwa nini hicho kipengele ulichoki-cite unasema kinamzuia"rais kupokea mawazo ya mke wake usiku wakiwa nyumbani na akaja kuyafanya ndio maamuzi asubuhi yake" ilhali hakuna jinsi ya kujua ama kuthibitisha hivyo?
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu maamuzi mengi ya viongozi wetu sometime yana bias ndani yake
  nakubaliana na mtoa hoja hapo juu kuwa kwa kuwa rais hafungwi wala hashurutishwi anaweza akayakubali au akayakataa mawazo ya mtu yoyote na kimewekwa makusudi ili kutomfanya rais apokee mawazo au kuzingatia mawazo ya mtu au kikundi
  Japo dhumuni la kuwepo hapo ni kumdhibiti rais kupokea mawazo ya mkewe usiku na yakawa maaamuzi ya kitaifa ila lengo lake hatuna uwezo wa kulijua wala kujadili au kufikiria jambo kama hilo
   
Loading...