Search results

  1. U

    Ajali mbaya imetokea katika msafara wa mwenge Msalala - Kahama

    Leo tar. 1 august kata ya Lunguya wilaya Msalala mkoani Shinyanga imetokea ajari mbaya ya gari na kuua watu watatu hapohapo na wawili wamefia hospital ya kituo Cha afya Lunguya, chanzo Cha ajari inasemekana ni mwendokasi wa dereva. My take: Barabara hii ya Kahama -Kakola ni mbaya sana karibia...
  2. U

    Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

    Hello JF members, Mimi ni mwalimu na nina familia tayari hivyo kama mtu anataka kujipanua kibiashara huku mkoani nipo tayari kushirikiana naye Ili niwe msimamizi wake huku maana wife yupo kwa usimamizi maana hapa nilipo hakuna hio huduma. Kama Kuna mfanyabiashara yupo tayari tunaweza tukafanya...
  3. U

    Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania. Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa. Na...
  4. U

    Nahitaji kujiendeleza kielimu (diploma) via Open university

    Maisha haya tunapambana kadri tuwezavyo lakini katika kupambana huko tunajikuta ndo tunaanguka zaidi Lengo la huu Uzi ni kutaka kusaidiwa shirika/NGO's/ mtu binafsi anayeweza nisaidia kulipa ada nimalizie masomo yangu Kwa ambaye anajua au yupo katika hio organization anisaidie wakuu[emoji120]
  5. U

    Walimu msingi mnaofundisha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini nawaomba hapa

    Lengo kuu: kubadilishana kituo Cha kazi Hello, Nipo mkoa wa shinyanga, halmashauri ya msalala na nahitaji kuja mkoa wa NJOMBE,MBEYA,SONGWE AU IRINGA Halmashauri yoyote ile katika hio mikoa Kama unahitaji kuhamia huku na uko serius please tusaidiane Nina uhitaji mkubwa wa kuhamia katika hio...
  6. U

    Tusipokuwa makini basi Imani yangu inanituma Afrika wataishi wazungu

    Viongozi wa afrika hawana uwezo wa kuona mbele wanaangalia tu miaka yao ya utawala ikoje lakini kwa trend tunayoenda Africa yote litakuwa bara la wazungu , Agenda hii chafu ya ushoga wameileta kimahesabu mno na ni ngumu sana mtu wa kawaida kujua nini lipo nyuma ya pazia Ila kwa ninavyoona mm...
  7. U

    Nahitaji partner wa biashara vitu vya electronics. Nipo Kahama

    Habari wakuu , Mimi ni mtumishi hivyo katika harakati za kupambana Ili kujitafutia mkate nimeona fursa katika vitu vya electronics hasa kwa watumishi kwa kuwa mm bado sipo vizuri kwa UPANDE wa mtaji naona vema nikatafuta mfanyabiashara ambaye tutaingia partnership ambapo Mimi nitafanya...
  8. U

    USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Habari za December Wana JF, Naomba nitaandika kwa ufupi na nitajitahidi niweze kueleweka ili kama kuna ushauri wa zaidi niweze kusaidiwa. Mimi ni mwalimu daraja la III A na ngazi yangu ya mshahara bado ni TGTS B1, baada ya kuajiriwa nilireport vyema katika kituo changu cha kazi na maisha...
  9. U

    Ushauri: Kipato changu ni kati ya 700k -1 milioni kwa mwezi

    Sitaelezea kwa kirefu kuepusha kuwachosha ila kwa ufupi ni kuwa mimi na hela ni kama upande wa sumaku KUS-KUS. Yaani huwa nikiwa na hela muda wote natamani kufanya manunuzi na siwezi kutulia na hela nikakaa nazo wiki ni ngumu Sana sijui wanaotunza wanatumia mbinu gani aisee, mwenye idea ya namna...
  10. U

    Naomba kujua vituo vizuri vya kurudia mtihani kidato cha nne kwa Dar

    Habari Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru ukinijulisha pia na Ada zao za tuition Ahsante
  11. U

    Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  12. U

    Technology: Maana ya cryptocurrency, metaverse na nft

    Watu wengi nimekuwa nikisoma thread zao humu kuhusiana na cryptocurrency, METAVERSE na NFT Nimegundua vitu vifuatavyo 1. Watu wengi wamepitia changamoto nyingi sana katika utafutaji wao hasa online Hustler kiasi kwamba wameibiwa pesa zao na Kisha kupoteza matumaini Tena za vitu vyovyote...
  13. U

    Natafuta mtaalam wa IT anifundishe

    Nahitaji mtu ambaye ni IT na anaweza kunifundisha nikaiva nikawa programmer nikawa na uwezo wa kutengeneza programme mbalimbali,kutengeneza website,application na kuziweka playstore,games na java n.k ila lengo kubwa la ni kutaka kujifunza kutengeneza website kutoka A-Z YENYE VIWANGO VYOTE pamoja...
  14. U

    Nahitaji mtu wa kuuza mgahawa au genge la chipsi

    Habari za leo JF HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA Baada ya kuichunguza biashara ya genge la chips na mgahawa nimeona ni bora niwekeze pia hela kidogo kwenye hii biashara ila umekuwa mtihani kupata mtu anayeweza kusimamia kwa sababu ya mimi kutingwa na shughuli zingine hivyo nilihitaji mtu...
Back
Top Bottom