Nahitaji mtu ambaye ni IT na anaweza kunifundisha nikaiva nikawa programmer nikawa na uwezo wa kutengeneza programme mbalimbali,kutengeneza website,application na kuziweka playstore,games na java n.k ila lengo kubwa la ni kutaka kujifunza kutengeneza website kutoka A-Z YENYE VIWANGO VYOTE pamoja na kuandaa mifumo kama ile wanayotumia kulipa mishahara automatic (sijui lugha halisi ya hivo vitu ila naweza kuwa nimeeleweka kwa ufupi) kuhusu kompyuta ninazo kama 10 ivi so atakayenifundisha sio lazima awe na hizo komputer tunaweza kutumia zangu tu
Naombeni msaada hapo wenye uelewa mimi nipo dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada hapo wenye uelewa mimi nipo dsm
Sent using Jamii Forums mobile app