Ajali mbaya imetokea katika msafara wa mwenge Msalala - Kahama

UBILUKO

Member
Sep 30, 2018
94
192
Leo tar. 1 august kata ya Lunguya wilaya Msalala mkoani Shinyanga imetokea ajari mbaya ya gari na kuua watu watatu hapohapo na wawili wamefia hospital ya kituo Cha afya Lunguya, chanzo Cha ajari inasemekana ni mwendokasi wa dereva.

My take: Barabara hii ya Kahama -Kakola ni mbaya sana karibia Kila siku ni ajari tu na itaua wengi wasipochukua hatua
 
Na wakati wa kiangazi kuna vumbi balaa dah wapumzike kwa amani waliotangulia mbele za haki
 
Leo tar. 1 august kata ya lunguya wilaya msalala mkoani shinyanga imetokea ajari mbaya ya gari na kuua watu watatu hapohapo na wawili wamefia hospital ya kituo Cha afya lunguya, chanzo Cha ajari inasemekana ni mwendokasi wa dereva,

My take: barabara hii ya kahama -kakola ni mbaya sana karibia Kila siku ni ajari tu na itaua wengi wasipochukua hatua
Ajari au ajali?
 
1101978067_univ_lsr_lg.jpg
 
Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.

Mwenge uwekwe makumbusho tu hakuna haja ya kuzunguka nao.
 
Leo tar. 1 august kata ya lunguya wilaya msalala mkoani shinyanga imetokea ajari mbaya ya gari na kuua watu watatu hapohapo na wawili wamefia hospital ya kituo Cha afya lunguya, chanzo Cha ajari inasemekana ni mwendokasi wa dereva,

My take: barabara hii ya kahama -kakola ni mbaya sana karibia Kila siku ni ajari tu na itaua wengi wasipochukua hatua
Ni mwenge ilikuwa kwenye msafara au normal trip
 
Wameenda kukagua ajari sio kukimbiza mwenge.
Si wanapenda kufokea watu na miradi isiyo na akili wakati kazi ya mkaguzi wa hesabu ni hipi.
 
Back
Top Bottom