Search results

  1. V

    Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM. Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki...
  2. V

    Wale ambao hawajawahi kununuliwa zawadi na wapenzi/wake zao karibuni tufarijiane

    Habari zenu wanajamvi. Sijui ni mimi tu au wapo wenzangu ambao tangia waanze kuwa na mahusiano hawajawahi kununuliwa hata peremendi tu na wenza wao. Mke wangu mimi ni house wife (though anajifundisha kazi za amali now) so simlaumu sana na yeye amewahi kuniambia anatamani kuninulia japo shati...
  3. V

    Wanawake mnavumilia mengi sana, hongera kwenu

    Wadau leo nilienda kuswali basi tayari nimejipanga katika safu kusubiri imamu atuongoze kuswali mara kaingia jamaa akasimama pembeni yangu na yeye amekuja kufanya ibada. Lahaula jamaa ananuka harufu mbaya sana ya sigara yaani hadi kero, kwa kweli ilibidi nikatishe ibada na nikachomoka kwenye ile...
  4. V

    Nadhani kuna maana kubwa ya haya majina tunayotumia licha ya kuwa ni feki

    Wadau habari zenu. Kuna muda ninakaa na kucheka sana nikisoma majina na avatar za members humu jamii forum. Psychological huwezi kukaa tu ukabuni jina ambalo halina maana flani kwako, hata kama hujakusudia kulenga maana fulani basi jina hilo litaakisi uhalisia wa mazingira yako. Jina langu...
  5. V

    Ni kwanini Magufuli na wapambe wake wanaogopa kinyang’anyiro cha ugombea wa Urais ndani ya CCM?

    Nimekaa nikatafakari sana juu ya hiki kinachoendelea sasa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Tayari makundi yameanza kujitokeza wazi wazi kabisa juu ya nani au ni nani mwenye haki ya kupeperusha bendera ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Kinachonipa shida ni baadhi ya maneno yanayotolewa...
  6. V

    Diamond platnumz unatuharibia mahusiano

    Habari wana MMU. Kwa kweli diamond sifa anazofanya za kuwapa magari girlfriends wake mbele ya camera anatupa mtihani mkubwa sisi wanaume. Ukweli my wife ni pregnant na ubaya zaidi birthday yake ni mwezi huu ambao amezaliwa Tanasha, sasa mtihani mkubwa mke wangu tangia aone ile clip ya Mond...
  7. V

    Popote ulipo Rukia.

    Habari zenu wana MMU. Kwa kweli kuna jambo linanikereketa sana japo muda umepita ila nimeona ni bora kutumia hili jukwaa labda huenda ikasaidia. Ni kuhusu bint mmoja ambae nilikutana nae pale udsm mwaka 2014. Bint X alikuwa ni mwanafunzi wa udsm pale. Bint huyu alikuwa ni mwenye kimo cha...
  8. V

    Kweli nimeamini ni vigumu kuacha Punyeto moja kwa moja.

    Habari zenu ndugu zangu wa MMU. Yafika miezi kadhaa sasa tangia niingie katika ndoa na kwa kweli niliweza kufanikiwa kabisa, achilia mbali kuacha kufanya yaani hata kuwaza kuhusu kupiga puchu. Tangia niingie ndoani mke wangu hajawahi kupata safari ambayo imeweza kututenganisha kulala kitanda...
  9. V

    Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

    Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja...
  10. V

    Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

    Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea...
  11. V

    Nimeamua kuwafukuza wageni wawili nimebaki na wawili, kuna ubaya?

    Habarini wana jamvi. Jana nilipata ugeni wa watu wanne, watatu kutoka ukweni na mmoja kutoka familia yangu. Sasa kutokana na hali yangu ya kiuchumi kwa kipindi hiki imekuwa vigumu kuwamudu wageni wanne tena watu wazima, nimemwita mke wangu chumbani tukashauriana wawili...
  12. V

    Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda...
  13. V

    Ndoa yangu inakaribia ila michango kutoka kwa marafiki hakuna

    Habari zenu wakuu. Natumai ndani ya huu mwezi nitajiunga rasmi katika lile chama la watu wazima (nachukuwa jiko) ili na mimi niweze kupata utulivu wa nafsi. Chakushangaza ni kwamba hadi sasa nimepokea mchango kutoka kwa friend mmoja tu, tena na yeye amenipa shilingi 35,000/=. Hivi tuseme...
  14. V

    Hodi humu ndani.

    Nimekuwa nikisoma posts kwa miaka mitatu sasa as a guest, nimeamua kujiunga rasmi
Back
Top Bottom