Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hivi kuna mchawi kama tajiri??? Au mwizi kama tajiri anavyowanyonya wanyonge??
We unadhani kwanini Yesu alimwambia Yule tajiri awagawie mali zake zote maskini kisha amfate??
Kila Utajiri anaukafili Nyuma yake
Ndo maana huwezi kumkuta mtu mwenye kufata NJIA ZA MUNGU na sheria zake akawa nimwenyepesa nyingi
Sababu anajua utamsahau tu
So hizo AB sizani kama kunaukweli
Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo.
Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971.
Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio.
Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.
Lakini hoja si Makonda kuzuiwa...
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.
Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia...
Wewe hujiewi kabisa na nadhani huwa zunakutoka mala 4 kwa week
Huyo unayemwita Beberu unachuku condom
Huyo unayemwita Beberu anakupa dawa za ARV
Huyo unayewita Beberu anavitabu vingi mashureni vimeandikwa not for sale
Hiyo ni kwa uchache tu
Yani wewe hujitambui takataka kabisa nadhani...
Hivi wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini mkuu?? na usiseme ubongo
Tambua Hicho ni kionj'o tu kwa kuwekewa mchuvi mkononi uonje kama chumvi imetosha au iongezwe
Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii...
Nakumbuka Rais Mstafu Jakaya Kikwete alishawahisema ukitaka Dunia ikuone we ni mtu mzuri au Nchi yako nzuri Marekani akuseme kwa mema na Ukitaka Dunia ikuone we mbaya Mmarekani akunyoshee kidole kwa kukusema vibaya
Sasa naona kama baada ya uchaguzi Tunaelekea Zibwabwe andazi tutalinunua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.