Wanawake ndiyo wamebeba laana?

mbona wanaume nao sikuizi wanaenda kuponywa nguvu za kiume

Ujaona nabii ana hamisha nguvu zake za kiume kwa mshikaji
 
manabii wanajua cheza na weak-spots za hao viumbe, ni kuwakamua kisawasawa
yabidi uwe genius kwa ME kupata hela ya KE kiulaini
 
Back
Top Bottom