Mnaojua maana ya namba pitieni hapa

Mnazinguakinoma

Senior Member
Dec 3, 2021
179
335
Kuna kitu sikielewi, na kinanitokea kila siku na kila saa.

Unakuta kila lisaa nikiangalia mda lazima nikutane na namba zinazofanana mfano, 10:01 au 11:11 sielewi maana yake msaada tafadhali kwa wale calculators ina maana gani hizo namba in my life?

Ova.
 
Kitabu Kinaitwa moja ya page kutoka Katika kitabu cha " I wish I knew this 20 years ago"
Screenshot_20220319-203634.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220319-203634.jpg
    Screenshot_20220319-203634.jpg
    44.3 KB · Views: 18

Similar Discussions

Back
Top Bottom