Search results

  1. Mgumu04

    Ni nani anaweza acha pesa akafuata passion?

    Nimeanza na kichwa cha habari kwa kuuliza je katika huu ulimwengu wa sasa kuna mtu anaweza acha kweli pesa au kazi inayo muingizia pesa na kufuata passion? Katika miaka ya 2007s kipindi nipo A level kuna jamaa yangu alishakuwa na ABC za computer application weekend tukawa tuna drop(watu wa...
  2. Mgumu04

    Tushirikiane tufanye kazi ( PC na simu repair)

    Habari wana jf, Mimi nina skills za ku repair simu na computer na 80 vifaa vya ufundi ninavyo ila shida ni capital ya kupanga fremu . Kama unaweza kuwa interested nifate PM tuzungumze. Location yaweza kuwa ni dar au kibaha. Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
  3. Mgumu04

    Msaada: Desktop ambayo haijatumika kwa mwezi mmoja imegoma kuwaka

    Habari ya muda huu wanajukwaa, Nina desktop yangu sasa ni kama mwezi hivi sijaitumia leo nimejaribu kuiwasha imegoma. Nimesafisha motherboard ila haijawaka na fan haitaki kuspin. Mwenye possible solution anisaidie. Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
  4. Mgumu04

    Plot4Sale Eneo linauzwa Michese-Dodoma

    Habari wana JF nauza eneo lipo michese dodoma KM 6 kutoka soko la majengo miundo mbinu iko mizuri. ukubwa wa eneo ni sqm 2162 au tulio zoea hatua ni miguu 57 kwa 52. bei milioni 4 karibu PM wanunuzi.
  5. Mgumu04

    Mh mwaka huwa huchangii hoja bungeni?

    Heshima kwenu wana jamvi. Nikili mimi ni miongoni mwa watu ambao naishi katika jimbo la chilonwa Dodoma jimbo hili kimaendeleo hali siyo poa na mbunge wetu yupo tu na hajawahi fika kijijini kwetu kutatua kero zetu. Baadaye nikabidi nianze kutafuta clips za michango yake bungeni huenda labda...
  6. Mgumu04

    Kwa mkopo huu kuna kutoka kwenye biashara?

    Habari zenu wakuu! Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi. Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani...
  7. Mgumu04

    Baada ya kuzama Edx, Coursera na Free code camp

    Habari ya wakati wana Tech baada ya kupitia coursera, edx na free code camp nimekuja na portifolio yangu nimeitengeneza kupitia code pen na kutumia bootstrap niki view kwenye PC UX/UI zinakuwa vizuri lakini niki view kwa kutumia simu kuna contents nyingi sana hazionekani naomba mwenye uelewa...
  8. Mgumu04

    Pikipiki inahitajika

    Habari zenu wanajukwa? Husika na kichwa cha habari, nahitaji pikipiki used iwe sunlg, fekon au t-better. Offer ni 750000
  9. Mgumu04

    mwanafunzi(sekondari na chuo) pitia hapa uongeze maarifa

    habari ya wakati wana jamvi? kwa wale mliokuwa mnafuatilia somo langu nimerudi tena baada ya kimya kwa muda. Pitia somo na uache maoni yako hapa. solution of learn trigonometry step by step exercise 01. - mjasitech
  10. Mgumu04

    Kama ni PCM,EGM,PGM au PCB pitia hapa.

    habati za wakati wanajamvi? ama baada ya salamu napenda ku share na wana JF wenzangu materials kwa combinations tajwa hapo juu waweza pitia hayo materials by the time being nimeanza na kipart cha trigonometry nitakuwa natoa notes baada ya wiki moja. Kwa kila part ya notes nitakuwa natoa...
  11. Mgumu04

    Baada ya kujaribu mara tatu sasa google amenikubalia

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, nilikuwa na google adsence account youtube channel , baadaye nikapata wazo la ku upgrade wakaniambia lazima niwe na top domain nikanunua godaddy kisha nikafungua blog yangu na kuforward domain. Sikuishia hapo kwa sababu madhumuni yangu ilikuwa nikupata...
  12. Mgumu04

    Nahitaji fridge ya tumba

    husika na kichwa cha habari nahitaji fridge niko Dodoma mjini pls weka bei.
  13. Mgumu04

    Msaada wa online learning UDSM

    habari yenu wana jamvi? naomba mwenye info ya kuhusu kozi zinazotolewa Udsm kwa njia ya mtandao je kila kitu hufanyika online kuanzia tests mpaka UE au kipindi cha mitihani humlazimu mwanafunzi aende physically kufanya mtihani ?
  14. Mgumu04

    Html playlist on YouTube

    Habari ya weekend nimetengeneza playlist ya web development kwa html waweza zicheki na kutoa ushauri wako. Samahani niliweka link amabayo ilikuwa haifanyi kazi ila sasa iko poa bonyeza hapa WEB DEVELOPMENT BASICS KWA KISWAHILI - YouTube
  15. Mgumu04

    Routing number on payPal registration

    wakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
  16. Mgumu04

    BODABODA-inahitajika

    Habari zenu wana jamvi mimi ninauhitaji wa boda boda ambayo ni used kwa ajili ya mishe mishe zangu, kama uko dodoma na unaiuza au una jamaa anayeiuza boda boda tafadhali ni PM au weka specifications zote hapa na bei usisahau.
  17. Mgumu04

    Msaada nimekwama kwenye bootstrap

    habari za wakati mana tech naomba msaada kwenye hizi markup chini nimetengeneza navagation links kwa kutumia bootstrap ambayo nime idownload ili niwe narun locally kwenye PC yangu sasa shida inakuja ninapo resize page inakuja icon bar vizuri ila sasa niki click kwenye hiyo icon bar sipati...
  18. Mgumu04

    Ni kweli wakenya wanatushinda kwa technology?

    habari ya boxing day wakuu? Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT. Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani yupo juu kitechnolojia kati ya wakenya na watanzania kila mtu amekuwa akisifia nchi yake ipo juu zaidi...
  19. Mgumu04

    Msaada wa screen recorder

    wanabodi habri za wakati! Nomba mwenye uelewa na programs ambazo zinarekodi videos katika Desktop nimejaribu kutafuta GOOGLE nimepata moja inaitwa KAZAMA shida ya hii ni kwamba inarekodi ila sauti haitoki. Natumia LINUX MINT 17.
  20. Mgumu04

    Tecno C8 inauzwa

    Husika na kichwa cha habari nauza tecno c8 nimenunua mwezi wa 6 IPO katika hali nzuri nauza ili nitatue shida tu. Nipo Dodoma mjini ni pm Bei 220,000/=
Back
Top Bottom