Msaada nimekwama kwenye bootstrap

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,937
1,047
habari za wakati mana tech naomba msaada kwenye hizi markup chini nimetengeneza navagation links kwa kutumia bootstrap ambayo nime idownload ili niwe narun locally kwenye PC yangu sasa shida inakuja ninapo resize page inakuja icon bar vizuri ila sasa niki click kwenye hiyo icon bar sipati links(page) yoyote mwenye uelewa tafadhari naomba msaada wako.

note:
naomba uangalie setting za links za bootstrap kwenye line namba 5,6 na 30 ndio nahisi kunashida hapa

<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title> navigation</title>
<link rel="stylesheet" href="css/bootstrap.min.css"> angalia hapa
<link rel="stylesheet" href="css/styles.css"> angalia hapa
</head>
<body>
<nav class="navbar navbar-inverse navbar-static-top">
<div class="container">
<div class="navbar-header">
<button type="button" class="navbar-toggle collapsed" data-toggle="collapse" data-target="#navbar-collapse" aria-expanded="false">
<span class="sr-only">Toggle navigation</span>
<span class="icon-bar"></span>
<span class="icon-bar"></span>
<span class="icon-bar"></span>
</button>
<a class="navbar-brand" href="#">jina la website</a>
</div>
<div class="collapse navbar-collapse" id="navbar-collapse">
<ul class="nav navbar-nav navbar-right">
<li class="active"><a href="[HASHTAG]#aboutMe[/HASHTAG]">About</a></li>
<li><a href="[HASHTAG]#portfolio[/HASHTAG]">Portfolio</a></li>
<li><a href="[HASHTAG]#contact[/HASHTAG]">Contact</a></li>
</ul>
</div>
</div>
</nav>

<script src="js/bootstrap.js"></script> angalia hapa
</body>
</html>
 
Habari mkuu,

Download jquery, Jquery .
Extract na ui-link kama ulivyolink Bootstrap yako , iweke kwenye files za Javascript.

Kisha i-link hapo chini ya hizi line zako mbili,
Code:
<link rel="stylesheet" href="css/bootstrap.min.css">
<link rel="stylesheet" href="css/styles.css">
<script src="js/jquery.min.js"></script> /*Weka line hii*/

js - Ni folder lenye javascript files zako.
Unaweza badilisha jquery.min.js jina kulingana na file lako la jquery unalo-link hapa.

Happy coding :):):):):)
 
nashukuru mkuu nimefanikiwa

nav.png
 
Kaka Kafiti nawezaje kuipata hiyo image kwenye profile yako nikaitumia kama profile yangu kwenye WhatsApp.
Na kamdudu kawe kanapitapita hivohivo, inawezekana???
 
Back
Top Bottom