Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,943
- 1,059
habati za wakati wanajamvi? ama baada ya salamu napenda ku share na wana JF wenzangu materials kwa combinations tajwa hapo juu waweza pitia hayo materials by the time being nimeanza na kipart cha trigonometry nitakuwa natoa notes baada ya wiki moja. Kwa kila part ya notes nitakuwa natoa exercise na baada ya wiki nitakuwa natoa na solutions zake waweza pitia hapa mjasitech