Search results

  1. MKOBA2011

    Nahitaji kiwanja dodoma

    Husika na somo hapo juu nahitaji kiwanja Dodoma ambacho hakipo kwenye mkono wa CDA maeneo ya Nkuhungu,au mipango kwa chini wanaita Mbwanga ila kisiwe na mgogoro wa aina yeyote na kiwe kinalipiwa manispaa eneo linatakiwa liwe lenye miundo mbinu ya maji na umeme ukubwa kiwe na square mita...
  2. MKOBA2011

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Ebu mnikosoe uelewa wangu kuhusu muundo wa serikali. Muundo wa serikali mbili au tatu nauona hauna mashiko kama tutashindwa kuzielezea hizo serikali zinavyotakiwa kuwa, ikiwa pamoja na kupunguza matumizi yake. Kwa maoni yangu tuwe na muungano wa mamlaka ya Zanzibar na mamlaka ya Tanganyika...
  3. MKOBA2011

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Mheshimiwa mimi wala sioni amachoongea just porojo watu wanacheka tu nikilinganisha na mzee Warioba alipopresent rasimu.
  4. MKOBA2011

    Tutorial Assistant

    Kwa vyuo vya serikali huo ni mshahara wa assistant Lecturer ambayo ni almost PUTS 2 Norch ya pili sasa hiyo Mzumbe ipi unayozungumzia unapozungumzia mshahara usiweke na marupurupu ambayo hayako constant kati ya chuoa chuo.Tutorial vyuo vya serikali anaanza na PUTS 1 first notch ambayo ni...
  5. MKOBA2011

    Warioba; Hasira zako usizitumie kuibomoa nchi

    Kwani wazee maoni yamekusanywa Rorya tu maoni yamekusanywa Tanzania nzima kama Rorya hawakusema chochote kuhusu muundo wa muungano wengine wametoa kama mmemsikiliza vizuri Warioba ofisi zote za serikali zimetoa maoni yanayopelekea serikali tatu kama ofisi ya waziri mkuu,bunge na ofisi ya waziri...
  6. MKOBA2011

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Kwa kweli kijana nakuunga mkono huyu mheshimiwa kama hajamuelewa huyu mzee maana hata kama darasani ulikuwa empty mzee kakata mzizi wa fitina maana uwasilishaji wake umeenda shule kishenzi mi mwenyewe nimemkubali kabisa.Good presentation
  7. MKOBA2011

    Soko la mahindi ya gobo dar likoje sasa?

    Wadau wa jamii forum yeyote mwenye details za hii kitu naomba anikokotolee.Nitashukuru sana.
  8. MKOBA2011

    Nahitaji shamba la mahindi la kukodi lililo karibu na iringa mjini

    Wadau mimi naishi Iringa mjini nahitaji shamba la kulima mahindi ambalo halipo mbali sana na mji kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kama heka tano hivi.Mdau yeyote mwenye ufahamu tujuzane maana mambo ya kilimo kwanza.
  9. MKOBA2011

    Nabii Flora wa Mbezi Beach

    Ndugu nakuunga mkono asilimia mia nabii anapewa kazi na Mungu na haitatokea kuwa nabii anapopewa kazi na Mungu mtapewa taarifa.Hata Yesu alikataliwa kama mnakumbuka mpaka ikafikia hatua ya kumuua walipomuua ndiyo wakatambua kuwa alikuwa nabii kwa hiyo wanadamu kumbukeni Mungu anaweza mtumia mtu...
  10. MKOBA2011

    Tujikumbushe "MSAZENGO" Mazengo and Msalato Secondary.

    Baada ya kutoka Mazengo Mkoba alikuwa wizara ya elimu na utamaduni kama kamishina wa elimu Tanzania then akaenda SUA kuwa REGISTRAR ambapo alifariki akiwa pale SUA bad enough baada ya mwaka mke wake nae akafariki pale SUA kuna mtoto wake bi Daktari hospitali ya Mazimbu.
  11. MKOBA2011

    Nabii Flora wa Mbezi Beach

    Habari wanajamii forum naomba nipate ABC za huyu nabii kutoka Dar nasikia anafufua wafu waliokufa kwa nguvu za giza na anaponya wagonjwa wa ukimwi.Naomba watu washuhudie humu ili wanjamii forum tujifunze.
  12. MKOBA2011

    Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    wadau habari za kazi naomba anayejuwa gharama ya kuondoa tonsils kwa mtoto mdogo wa miaka mitano pale Muhimbili anijuze.
  13. MKOBA2011

    Paediatrician

    Wadau habari za jumapili naomba mwenye kujua hapa Bongo wapi nitapata hawa wataalamu nina shida kuwaona kwa tatizo la mwanangu.Hope mtanisaidia.
  14. MKOBA2011

    Tatizo katika kumeza na kupumua

    Habari wadau wa jamii forum naomba msaada nina mtoto wa kike wa miaka mitano ana tatizo katika mfumo wake wa kupumua na kumeza chakula anapata shida kupumua wakati wa usiku na wakati wa kula huwa anajaza chakula mdomoni anameza kwa shida nilidhani ni athma nilienda kwa daktari kupima akasema...
  15. MKOBA2011

    Kumbe CHADEMA hii ndio sababu ya kumkashifu Kinana?!!! Sasa naelewa

    Pandikizi wewe na si mwanachadema Kinana jangili tu hata mkimsafisha ni sawa na kuzidi kumchafua kwani huyu sehemu zote alizopita katika madaraka kaacha harufu ya choo sasa mnamsafishaje?Siku zake zinahesabika huyu Msomali.
  16. MKOBA2011

    Godbless Lema atoa Tamko Kali - Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atishia kumbambikizia kesi

    Sorry na wewe ni kati ya wale waliorudia darasa maana magamba mnasifika kwa kurudia madarasa akili zenu zilikwa ndogo kama Nchemba Ahaaaaaaaaaaa Arusha CCM ondoeni mategemeo ya kulipata hilo jimbo
  17. MKOBA2011

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapa magamba yatabanduka yenyewe bila msaada wa nyenzo yeyote maaana wanampa umaarufu Lema bila wenyewe kumtambua CCM jimbo la Arusha walisahau maana ni jimbo la upinzani milele alafu huyu mkuu wa mkoa nina shaka na elimu yake kwa nini amuogope Lema alienda pale kama...
  18. MKOBA2011

    Naomba kujuzwa

    Hichp kitu hakipo mkuu sana sana wakikupendelea wanakupeleka E ualimu mishahara inabase sana experience na si shule yako
  19. MKOBA2011

    Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

    Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang'ingo.Budget...
  20. MKOBA2011

    Haya wadau kazi hizo udsm hasa wale wenye sifa stahili za kuwa wanataaluma

    Haya wadau wale wanaohitaji kuwa wanataaluma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Professor/ Associate...
Back
Top Bottom