MKOBA2011
Senior Member
- Jul 12, 2011
- 142
- 27
Habari wadau wa jamii forum naomba msaada nina mtoto wa kike wa miaka mitano ana tatizo katika mfumo wake wa kupumua na kumeza chakula anapata shida kupumua wakati wa usiku na wakati wa kula huwa anajaza chakula mdomoni anameza kwa shida nilidhani ni athma nilienda kwa daktari kupima akasema hiyo siyo athma ni croup kwa hiyo wale wataam wa haya mgonjwa naomba msaada wamatibabu yake maana mtoto wangu anapata shida sana na hili tatizo.Nitashukuru kwa msaada wenu.