kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
Wengi wetu tunalikumbuka kundi la G55 na harakati zake wakati ule. Kundi hilo liliongozwa na Njeru Kasaka. Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwamo. Lengo la kundi hili lilikuwa kama anavyojaribu kujitetea Warioba kuhusu muungano wa serikali tatu. Kundi hili lilisimamia madai ya serikali tatu lakini Mwalimu Nyerere alisimama kidete kuhakikisha kuwa ujinga kama huo wa kutaka kuvunja Muungano kwa kupitia mlango wa nyuma, haupati ushindi.
Ndugu zangu haishangazi leo hii kumsikia Warioba akiendelea kusimamia hoja ambayo anajua kabisa hata Mwalimu Nyerere aliikataa. Analazimisha Muungano wa serikali tatu wakati anajua kuwa ni wazi atavunja muungano. Ana hasira na kisasi moyoni. Utetezi na hoja zote anazojenga ni uongo mtupu huyu mzee anataka kutuharibia nchi kwakuwa yeye hana cha kupoteza.
Warioba hebu atueleze ni mwananchi gani wa Rorya alipendekeza serikali tatu?. Mi nina orodha ya wachangiaji wote na kile walichokichangia. Hakuna mwananchi yeyote aliyependekeza serikali tatu. Watu wengi walizungumzia maswala ya ardhi, wakuu wa mikoa na wilaya na mawaziri/wabunge. Hayo maoni ya serikali tatu Warioba uliyapata wapi?
Ninachokushauri mzee Warioba tafadhali usituharibie nchi. Tuachie Tanzania yetu. Kama we unaona umezeeka na you are about get no more, leave us with our beautiful Tanzania please. Umri ulionao ni wa mwishoni ji...fie salama mzee. Hasira zako dhidi ya Mwalimu usituletee sisi kwani hazituhusu.