Tutorial Assistant

Huku Mzumbe ma T.A wanalipwa 1.8m ukitoa makatomakato take home si chini ya 1.2m
Hongera sana......
Kwa vyuo vya serikali huo ni mshahara wa assistant Lecturer ambayo ni almost PUTS 2 Norch ya pili sasa hiyo Mzumbe ipi unayozungumzia unapozungumzia mshahara usiweke na marupurupu ambayo hayako constant kati ya chuoa chuo.Tutorial vyuo vya serikali anaanza na PUTS 1 first notch ambayo ni 1,411,000/= ukikatwa katwa unabaki na kama tisa na kitu au tisa kasoro inategemeana.
 
gloss ya 1,411,000/= take home ni kama 999,230/= kama makato ni NSSF/LAPF/PSPF na income tax tuu. Sijajua kama hawa wanamakato mengne, labda HESLB ambayo sio kwa wote wengine wamejisomesha.
 
Asante mkuu Ricardo kaka. Naelekea Moshi kuanza kazi, nawashukuru wadau, hili jukwaa linasaidia sana. Kikubwa ni kuaamini. Vijana wote ambao mna GPA 3.8 pelekeni vyeti vyenu kwenye mavyuo mtapata kazi kama mimi nilivyovyafanya. Nilituma kila chuo barua na vyeti. Usisubiri watangaze

Mkuu umenena vyema sana na Mungu akuongezee kwa sababu kuna watu ni wachoyo hata kutoa mbinu walizotumia kupata kazi. nimekuPM
 
Back
Top Bottom