Paediatrician

MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
27
Wadau habari za jumapili naomba mwenye kujua hapa Bongo wapi nitapata hawa wataalamu nina shida kuwaona kwa tatizo la mwanangu.Hope mtanisaidia.
 
,,,.nenda Hospital yoyote kubwa au ya rufaa,eg MUHIMBILI,TEMEKE,AMANA-ILALA,etc,..!!))
 
Dar Kariakoo kwa Dr. Koya ni bingwa wa watoto, hospitali inaitwa A.B. Dar es Salaam Hospital (simu 2181030).
Unaweza pia kwenda Aga Khan Hospital Dar onana na Drs. Mpangala au Lakhani au Kuboja.
Pia Kaja clinic Kinondoni yupo Dr. Kitundu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom