Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

MKOBA2011

Senior Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
142
Reaction score
27
Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang'ingo.Budget yangu nyumba isizidi 190,000/= kwa mwezi iwe na mwonekano mzuri ndani na nje. Number yangu ni 0755-520976. Kazi njema
 
MKOBA2011, kuna nyumba inapatikana kwakilosa, Mlandege, Itamba, Frelimo, Ipogoro na nyingine ipo Mkimbizi Ni Pm kama utapenda maeneo hayo..
 
Last edited by a moderator:
Boss habari...
Mi pia natarajia kuhamia Iringa hivi karibuni,naweza kupata nyumba nzuri na kwa gharama (kodi) gani?
Tafadhali nijibu,namba yangu ni 0753000514
 
Back
Top Bottom