Nahitaji kiwanja dodoma

MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
27
Husika na somo hapo juu nahitaji kiwanja Dodoma ambacho hakipo kwenye mkono wa CDA maeneo ya Nkuhungu,au mipango kwa chini wanaita Mbwanga ila kisiwe na mgogoro wa aina yeyote na kiwe kinalipiwa manispaa eneo linatakiwa liwe lenye miundo mbinu ya maji na umeme ukubwa kiwe na square mita 800-900.Call me through 0658520976.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom