Search results

  1. Super Sub Steve

    Car4Sale Toyota vitz inauzwa milioni 6. Mazungumzo kidogo yapo

    Toyota vitz Inauzwa milioni 6. Mazungumzo kidogo yapo. Milango mitatu, engine 1Sz cc 997 Mileage 104771km Android Radio (Screen) Full AC Ipo Dar Mbezi ya Kimara 0768882785 Update Gari imeuzwa. Thread closed
  2. Super Sub Steve

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupata vibali vya kusafirisha milango ya miti pori

    Habari wanajukwaa. Nataka kusafirisha Top za milango toka Songea kwenda Dar, naomba kujua changamoto za usafirishaji, kuna vibali vyovyote vinahitajika? Kama vipo gharama zake zipoje?
  3. Super Sub Steve

    Tusipokuwa makini, Tozo zitazalisha EPA nyingine au ufisadi Mkubwa mwingine

    Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo. Tozo inajenga madarasa Tozo inajenga vituo vya afya Tozo sijui inajenga barabara Tozo imeleta sijui vitu kedekede Wakati huo huo tunakopa mabilioni na mabilioni kutoka taaisisi mbalimbali za fedha. Sasa hayo madarasa yanajengwa na...
  4. Super Sub Steve

    #COVID19 Upendeleo chanjo ya COVID-19 kwa makundi

    Toka zoezi la kupata chanjo lizinduliwe rasmi kuliwekwa vipaumbele kwa makundi matatu. Waliofika miaka 50 na zaidi Wahudumu wa afya Wenye magonjwa ya Mara kwa mara Kwanini wasingesema Kila mtu ambaye yupo tayari kupata chanjo apate? Halafu Kuna watu hawajafika 50, si wahudumu wa afya na...
  5. Super Sub Steve

    Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

    Wiki kadhaa zilizopita nilienda CRDB kuomba Mkopo binafsi. CRDB wakasema lazima mshahara wangu upite kwao. Nikahamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB ndipo nikajaza form za mkopo na kuzirudisha CRDB Bank. Nilivyorudisha tu fomu loan officer akaniambia sasa hivi mfumo unasumbua kidogo huenda...
  6. Super Sub Steve

    TANZIA RIP Profesa Josephat Kanywanyi

    Taarifa ya Msiba. Profesa wa Sheria UDSM, Josephat Kanywanyi kafariki Jumapili asubuhi tarehe 10.01.2021 Ibada ya kuaga mwili itafanyika Nkrumah Hall siku ya Jumanne saa tano asubuhi. Na Mazishi ni saa kumi jioni makaburi ya Kinondoni. Msiba upo Nyumbani kwake Survey. RIP Prof. Bwana alitoa...
  7. Super Sub Steve

    Mganga wa Tiba Asilia amuandikia barua Rais Magufuli kuhusu tiba ya COVID 19

    BARUA YANGU KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI Kwa majina naitwa Ally Nathaniel mhagama, Kabila langu ni mpangwa ,natokea mkoa WA Njombe wilaya ya Njombe, kijiji cha Nundu, KAZI YANGU NI MGANGA NA MTAFITI WA tuba Asilia, ninae tumia Mizimu kutafiti na...
  8. Super Sub Steve

    Je, tatizo la Pua Kunuka ukipiga Chafya linatokana na nini

    Habari ndugu wanajukwaaa. Tatizo la harufu mbaya mtu akipiga Chafya huwa linatokana na nini? Mtu anaumwa mafua Mara kwa mara.Yanapona lakini baada ya muda yanajirudia Tena.Akipiga Chafya inatoka harufu mbaya. Nini Tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Super Sub Steve

    Makadirio ya Kupaua Nyumba Kwa kadiri ya Fundi

    Ndugu wanajamvi,nimejikusanyakusanya hatimaye kupata visenti vya kufikiria kuezeka Nyumba yangu.Fundi kanipa makadirio yafuatayo kwa materials. Nyumba Ina ukubwa wa Upana Ni Futi 28 Urefu Ni Futi 36 japo Kuna upande mmoja Kuna Kama futi Moja na nusu imeongezeka. Kwa hiyo roughly 28ft upana,na...
  10. Super Sub Steve

    Ice cream ya ukwaju ya Bakhresa inapendwa na watu lakini kile kifungashio chake ni janga

    Ice Cream za UKWAJU ya Bakhresa imekuwa maarufu ghafla kwenye Mitaa mbalimbali ya Dar ( mikoa mingine sijui ) Na wauzaji wake wamejaaa Kila mtaa.Lakini wananchi Na wote wanaotumia inabidi kuwa wastaarabu. Ukipita pale daraja la Mfugale kwenye ile mitaro ya Pembeni imejaaa uchafu unaotokana Na...
  11. Super Sub Steve

    Msaada wa Kisheria,Nataka kuwasaidia wazazi wangu kupata fedha zao walizotozwa faini isivyo halali.

    Ni miaka mingi imepita kama sita hivi.Kwenye familia ya Baba yangu kulitokea ugomvi kidogo.Mdogo wa baba wa mwisho alienda kwenye shamba la kaka yake akachuma mazao yasiyofika hata thamani ya elfu ishirini.Sasa Yule kaka (Ndugu yao...Mimi namwita baba mdogo) akashtaki Kwa balozi na kesi ikafika...
  12. Super Sub Steve

    Nini husababisha Presha kushuka Kwa Mama Mjamzito ?

    Shemeji yenu hakuwa na tatizo lolote la Presha lakini toka apate Ujauzito Presha yake mara Kwa mara Huwa chini.Nini husababisha hilo?
  13. Super Sub Steve

    Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

    Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo. Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana. Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya niandike Uzi huu huenda na Kwa wengine ikawa hivyo. Nilikuwa natafuna Askari polisi mmoja mke wa...
  14. Super Sub Steve

    Msaada,mama yetu amepotea

    Ndugu wanajf naomba mnisaidie kusambaza taarifa za kupotea Ndugu Vitalia Mung'ong'o ni mwenyeji wa Njombe Ila kwa Sasa alikwepo Kwa kijana wake Dar mitaa ya Makuburi kibangu. Alipotea jana Tarehe 6/72018 mchana muda kama wa saa Saba. Kwa yeyote atayemwona atoe taarifa polisi au apige simu...
  15. Super Sub Steve

    Hivi kwanini wazee walitufanyia hivi?

    Yaani enzi za utotoni mambo yalikuwa ni shida sijui ndiyo vyuma vilikaza au sijui nini? 1.Nyama ilikuwa bei rahisi tu lakini Kula mpaka Sikukuu tena mnapewa kipande kimoja tu na mchuzi wa kutosha.Siku hizi maisha yamekaba nyama bei ghali lakini watoto wanakula nyama mpaka Meno yanauma. 2.Wali...
  16. Super Sub Steve

    Baada ya Kufanyiwa LEEP, ameingia Hedhi,ila Damu inatoka nyingi sana.

    Kafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi. Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition iliyojitokeza. Kwa wale wenye experience na hii Operesheni hii condition ni normal au lah?
  17. Super Sub Steve

    Kitanda 5*6 Kinauzwa

    Kitanda 5*6 Kinauzwa Bei yake ni 150,000 fixed. Kinapatikana Survey karibu Na Chuo cha Ardhi. Anyone interested contact 0788698640 Updates:Deal done.Bidhaa imeshauzwa.Asanteni wote
  18. Super Sub Steve

    BAR MAIDS WANA CHUMA ULETE?

    Wakati enzi hizo napata kinywaji uwezo wangu ilikuwa bia chini ya kumi Na sidhani kama nimewahi fikisha hizo bia kumi.Na Bia zangu nilizokuwa nakunywa ni zile ambazo gharama yake kwa bia Moja ilikuwa haizidi 3000. Lakini cha kujiuliza kila nikienda Bar chenji ninayorudi nayo Huwa haiakisi bia...
  19. Super Sub Steve

    Hamna anayetafuta hawala humu?

    Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo hatujaoana.Kila mtu anataka mume au mke permanent why? Wekeni thread hata Za kutafuta mchepuko tu.Maana...
  20. Super Sub Steve

    Nimeacha Pombe nimeacha Kununua Nyapu,,, lakini hela nayo imetafuta pa kupotelea.

    Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi unashangaa ukipata hela unasema ngoja nikomboe hela zangu.Unaliwa tena.Kanji anatajirika sisi tunazidi...
Back
Top Bottom