Msaada,mama yetu amepotea

Msaada,mama yetu amepotea

Status
Not open for further replies.

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,705
Reaction score
11,298
Ndugu wanajf naomba mnisaidie kusambaza taarifa za kupotea Ndugu Vitalia Mung'ong'o ni mwenyeji wa Njombe Ila kwa Sasa alikwepo Kwa kijana wake Dar mitaa ya Makuburi kibangu.
Alipotea jana Tarehe 6/72018 mchana muda kama wa saa Saba.
Kwa yeyote atayemwona atoe taarifa polisi au apige simu 0658999812
IMG-20180707-WA0004.jpg
IMG-20180707-WA0003.jpg

Updates:
Tunashukuru Kwa maombi yenu.
Mama yetu amepatikana maeneo ya Ubungo karibu Na mataa.Asanteni sana
 
Pole sana Mkuu,jaribu pia kutangaza kwenye misikiti na makanisa
Pia,jitahdi kusambaza picha zake kwenye ma-group ya WhatsApp
Vilevile nitahd kwenda mortuary ya muhimbili,Ilala na mwananyamala ukaulizie kwa kuwa sisi ni binadamu na dharura huweza kutukuta mahali popote!
 
Asante sana mkuu tunajitahidi kufanya hayo yote.
 
Ni mama wa Jamaa rafiki yangu,(Jamaa yangu) Leo tumetafuta sehemu mbalimbali tumepeleka matangazo makanisani ni misikitini hasa maeneo ya Ubungo Kisukuru makuburi Mabibo na Ubungo.Ila hatujapita mahospitalini.
 
ITV wametwambia matangazo ya kupotelewa ndugu wanatangaza siku za katikati hivyo tuende Jumatatu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom