Search results

  1. A

    Fundi bomba

    Fundi bomba, Plumbing & pipe fitting,s. Ninatoa huduma hii kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Maji safi na maji taka Drainage system kwa ubora wa kitaaluma na uzoefu pia sio kubahatisha. Mfumo wa maji moto na baridi pia nafanya kwa ubora. karibuni sana .0783-543635. //0714-924559.
  2. A

    Habarini wakuu

    Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa na jeshi LA polisi?
  3. A

    Habarini wakuu

    Lipo swala yani tatizo LA madereva wa mabasi makubwa .huwa wanaovertake barabarani. Kwa nguvu bila kufuata sheria yani huwa wawapo barabarani. Huona na kujisikia ya kua barabara yote ni Mali yao peke yao. Hawa madereva wa mabasi makubwa nadhani iwe hivi umeovertake kwa upuuzi wako kamata dereva...
  4. A

    Tatizo la kukatika maji bila kutoa taarifa

    Luna hili tatizo LA Dawasco LA kukatika kwa maji bila kutoa taarifa .Dawasco mnachotufanyia sio haki maji yanakosekana halafu hawatoi taarifa.lingine Mara nyingi. Maji hutoka yakiwa machafu tatizo nini wakati Ankara za maji tunalipa kama kawaida mnatukera mno.
  5. A

    Habarini wakuu

    Kuna mjadala nimeusikia kutoka kwenye radio kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana wa elimu ya juu. Watanzania wengi hukimbilia kusema wajiajiri.Mimi mawazo yangu , nikianza na serikali ingefanya hivi, wale watumishi wanaostaafu kila mwaka nafasi zao wachukue hao vijana kulingana na walichosomea...
  6. A

    Watumishi wa darasa la saba

    Kwa huzuni kabisa tuna hawa ndg zetu waliokua watumishi wa umma kabla hawajasitishiwa ajira na mishahara pia.hawa watumishi waliajiriwa na serikali hihii ya CCM. Kwa vigezo na sifa zote ,kwani wasingekua na hizo sifa wasingeajiriwa .waliajiriwa wakadhibitishwa kazini uwepo wao na barua ya ajira...
  7. A

    Kibaha Taasisi ya elimu haitoi nauli wakati wa likizo

    Yatuhusu wafanyakazi wa shirika LA elimu kibaha .kwa kweli yapo matatizo mengi kwa baadhi ya watumishi wa shirika hili tunaanza unapochukua likizo yako ya kawaida ndani ya mwaka huo yani siku 28 kama unastahili kulipwa hiyo hela ya likizo hupewi kwa wakati.mfano utaenda likizo bila kupewa hiyo...
  8. A

    Watumishi wa umma shirika la Elimu kibaha hatutendewi haki

    Mimi Nina kero kma sio lalamiko . ni kwamba watumishi wa umma shirika LA Elimu kibaha hatutendewi haki za kiutumishi.kuna maswala. Ya promosheni hatupewi. Kuna maswala ya marekebisho ya mishahara hatupewi hiyo huduma. Ya Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Halmashauri ya Kibaha Mjini mnatunyanyasa na kodi ya usafi ya elfu tatu!

    Kero yangu .Mimi mkazi wa mkoa wa pwani wilaya kibaha mjini kuna hawa watu wanaitwa mabwana / bibi afya. Wanatutoza fedha za usafi kama una kibanda unatoa elfu tatu kwa mwezi. Na nyumbani unatoa elfu tatu pia.sasa tupumulie wapi kila sehemu kodi TRA kodi leseni kodi usafi wa biashara kodi wa...
  10. A

    Habarini ndg zangu

    Nina swala linanitatiza ni kwamba serikali ya awamu hii walisema watumishi wa umma watapandishwa madaraja .lakini ajabu gadi Leo sijaona chochote. Na ukisoma post za wadau wengine utasoma wanasema wamepandishwa hayo madaraja sasa Mimi sielewi wakuu imekaaje hapa Mimi ni mtumishi wa shirika LA...
  11. A

    Maendeleo ya viwanda .

    Habarini wakuu. Hivi viwanda vinavyotakiwa kujengwa taratibu za viwanda hivyo kwa sehemu husika. Zinafuatiliwa na kiongozi gani ? No mkuu wa mkoa, au mkuu wa wilaya katika kuwaleta wawekezaji. Kwani mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya rombo hatuna kiwanda hata kimoja.Rai yangu basi japo waziri wa...
  12. A

    Watumishi wa umma wa darasa LA saba.

    Habarini wana jamii. Hebu tusaidiane. Hili tatizo kwa watumishi wenzetu walioachishwa kazi kwa kutokua na vyeti vya form iv. Huu ni uonevu mkubwa kwani hawa watumishi hawakujiajiri wenyewe bali serikali kwa taratibu zote. Walikua. Na check namba. Na pf namba. Sasa ajabu wakaondolewa kama...
  13. A

    Tunatoa huduma za kuweka mabomba ndani ya jengo

    Plumbing & pipe fittings tunatoa huduma za kuweka mabomba ndani ya jengo / nyumba fittings za maji safi Hot water & cold water Pia drainage system. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Ajabu kwa watumishi

    Sasa tujiulize wanyonge hivi hata hiyo Elimu bure inatolewa na watu gani kama sio wafanyakazi? wakati mfanyakazi analipa kodi kila upande ukiachilia mbali kodi ya mshahara ambayo haikwepeki .du yani taabu tupu.utawala uliopita maendeleo yalikua yanakuja na watumishi walipewa...
  15. A

    Alieshiba hamjui mwenye njaa

    Habarini wanyonge wa nchi hii hivi watumishi wa darasa LA saba Jana Tukta iliwaongelea kuhusu wale watumishi walioachishwa kupewa mishahara lakini halikujibiwa kabisa Sasa wanyonge Ni wepi hao. kma ni mandeleo utawala uluopita mengi yalifanyika na wanyonge hawakubaguliwa
  16. A

    Watumishi Wa umma

    Hawa watumishi wa darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 20 mei 204 hadi 2017 hawakujiajiri wenyewe ni serikali iliwaajiri na hadi check no wakapewa na isitoshe Raisi alisema mei mosi iliofanyikakilimanjaro moshi kua wa darasa LA SBA sina tatizo nao.
  17. A

    Kuhusu watumishi wa umma

    kuna hili swala la mishahara Kwa watumishi wa umma unakuta una cheti cha sec Labda four na taaluma unacho but mshahara unaolipwa ni Sawa na mtumishi wa darasa LA saba haki iko wapi? mfano shirika LA Elimu Kibaha MTU ni standard seven lakini mshahara mnakua Sawa na wakati...
Back
Top Bottom