Watumishi wa umma shirika la Elimu kibaha hatutendewi haki

Ambase

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
562
500
Mimi Nina kero kma sio lalamiko . ni kwamba watumishi wa umma shirika LA Elimu kibaha hatutendewi haki za kiutumishi.kuna maswala. Ya promosheni hatupewi. Kuna maswala ya marekebisho ya mishahara hatupewi hiyo huduma. Ya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ambase

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
562
500
Mimi Nina kero kma sio lalamiko . ni kwamba watumishi wa umma shirika LA Elimu kibaha hatutendewi haki za kiutumishi.kuna maswala. Ya promosheni hatupewi. Kuna maswala ya marekebisho ya mishahara hatupewi hiyo huduma. Ya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hatuelewi miaka kumi hamna promotion wala kama mtumishi unastahili marekebisho ya mshahara unapigwa danadana tu yani waziri mwrnye dhamana Mh. Jafo tunaimani sana na utendaji wako tunakuomba usilichungulie liangalie kwa mbinu zako zote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
27,395
2,000
Nimetembelea Hapa Shirika La Elimu Kibaha, Miundombinu Ipo Hoi Sana. Majengo Mengi Sana Yamezeeka Tatizo Likionekana Kutokukarabatiwa Muda Mrefu

Nyumba Za Watumishi Wa Serikali Nazo Hoi, Ndiyo Maana Hata Likizo Hamlipwi. Serikali Iliangalie Shirika La Elimu Kibaha Kwa Huruma.


Inaonekana Miaka Ya Zamani Hapa Palikuwa Bora Sana Huwezi Kulinganisha Na Popote Mfano Dodoma
Kuna Nyumba Nyingi Sana Za Watumishi, Ndani Barabara Nyingi Sana Za Lami Hadi Kwenye Nyumba


20191129_093957.jpg
20191129_093321.jpg
20191126_143937.jpg
20191126_082118.jpg
20191129_150613.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom