Hawa watumishi wa darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 20 mei 204 hadi 2017 hawakujiajiri wenyewe ni serikali iliwaajiri na hadi check no wakapewa na isitoshe Raisi alisema mei mosi iliofanyikakilimanjaro moshi kua wa darasa LA SBA sina tatizo nao.
Imekuaje tena wafungiwe mishahara yao halafu kimyaa manake nini na uhalisia hawa ndio wanyonge kama serikali imevunja mmkataba wa ajira hizo basi waambiwe sio kukaa kimya kana kwamba hakuna lolote .ni unyanyasaji mno ni dhambi isiyofutika daima mmevunja mkataba wapeni haki zao hawakujiajiri wenyewe jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.