Maendeleo ya viwanda .

Maendeleo ya viwanda .

Ambase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
562
Reaction score
480
Habarini wakuu. Hivi viwanda vinavyotakiwa kujengwa taratibu za viwanda hivyo kwa sehemu husika. Zinafuatiliwa na kiongozi gani ? No mkuu wa mkoa, au mkuu wa wilaya katika kuwaleta wawekezaji. Kwani mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya rombo hatuna kiwanda hata kimoja.Rai yangu basi japo waziri wa Viwanda , na Waziri wa Tamisemi mtufikirie kwa hilo ajira zitakuwepo na vijana wengi wataacha unywaji wa pombe kiholela .
 
mh mbona viwanda vya gongo huko vipo kibao! wewe tu ndo hujaamua kwenda kuomba ajira huko
 
Back
Top Bottom