Search results

  1. Osaka

    Unapoteza kumbukumbu lakini unabahatika kufika salama!

    Salaam wana JF! Ningependa kujua, hivi inakuwaje mtu kalewa chakali hadi hatua ya kupoteza control pamoja na kumbu kumbu, lakini akiweza kuwasha gari, kesho yake atakuambia kuwa alifika salama kwake na kupaki vizuri gari lake, Lakini kitendawili ni jinsi gani alivyofika nyumbani kwake...
  2. Osaka

    Sir Jamshid, Sir Ali bin Said ... - Walipataje Heshima ya "Sir"?

    Umuhofia kwenu! Masultani wafuatao toka Zanzibar, walikuwa knighted kwa miaka tofauti tofauti toka kwa Queen wa Uingereza: Jamshid bin Abdullah, Ali bin Said, Khalifa bin Harub, na Hamad bin Thuwaini. Hivi walifanya nini na kustahili kupewa heshima hiyo? Akina Marealle, Mkwawa...
  3. Osaka

    Wayahudi na umilikaji wa media nyingi duniani - Kunani nyuma yake?

    Umuhofia Kwenu wana JF! Hivi ni bahati tu imetokea au ni mpango maalumu wa Zionists kumiliki utitiri wa media? Ikiwa ni mpango maalumu basi Wayahudi wamejipanga vizuri kujua yale binadamu tunayofanya /kusudia kufanya, tunayoyafikiria /waza au tunayoyaamini kupitia TVs, Movies, Network...
  4. Osaka

    Kwanini Waziba wanabaguliwa na Wahaya wenzao?

    Umuofia kwenu wana JF! Nimepata kusoma comments mbalimbali hapa hapa JF ktk majukwaa kadhaa na kugundua kuwa ipo hali fulani ya ubaguzi wa hawa Waziba toka kwa Wahaya wenzao! Mimi kwa ufahamu wangu, nilidhani kuwa Wahaya ni Wahaya tu na wanaelewana vizuri. Hivi ni kwanini kuna ubaguzi kati...
  5. Osaka

    Msaada anayefahamu St. Francis De Sales School - Ipuli Tabora

    Salaam Wakuu! Naomba msaada kwa anayefahamu shule hii iliyopo mkoani Tabora. Shule hii inaendeshwa na Wahindi na nimesikia inafanya vizuri upande wa taaluma kiwilaya, kimkoa na kitaifa. Kwa mwaka juzi, 2013 upande wa primary matokeo ya mtihani wa STD 7: Nafasi ya shule kiwilaya: 3 kati...
  6. Osaka

    Kwanini Tunaweka 'double consonant' Katika Majina Yetu Ya Kibongo?

    Salaam Wakuu! Uwa najiuliza, ni sababu ipi ya msingi inayofanya Wabongo kulazimisha majina yao ya Kibongo kubeba 'double consonant' kama ilivyo ktk majina ya Kizungu? Kadri ninavyo fahamu majina mengi ya Kibongo hayana utamaduni wa kubeba 'double consonant'. Mfano, majina kama vile...
  7. Osaka

    Natafuta Kitabu Hiki: 'The White Lie' by Walter T. Rea

    Wakuu, Salaam kwenu! Wakuu ninahitaji kupata kitabu chenye title hiyo hapo juu, mwandishi wake ni Walter T. Rea (1982). Mwenye kujua jinsi ya kupata kitabu hiki au soft copy yake anijuze hapa JF. Asante.
  8. Osaka

    Kwanini Wanaume Wana Chuchu (Nipples)?

    Salamaleko? Kama kichwa cha thread kinavyouliza; kifua cha mwanaume kina nyonyo mbili ambazo kwangu naona kama ni kiungo redundant. Kwani nyonyo zina kazi gani ktk chest ya dume? I 'm curious to know!
  9. Osaka

    Jinsi Ya Kufanya Images/Photos Katika Post Kuwa Kubwa.

    Salaam Wana Jamvi! Naomba msaada katika hili. Kila nikijaribu ku - upload picha kutoka katika desktop kwenda katika post zangu, mara nyingi picha hizo uonekana kuwa ndogo hivyo kupelekea kutoonekana vizuri. Sina idea yoyote ya kufanya picha hizo kuwa katika size kubwa. Please, how can I do...
  10. Osaka

    Avatars Zinazoongea - Technology!!!

    Create talking avatars & online characters - amazing! Try it ..., it really works ... You can even change the accent or the language. You type ... she speaks ... TURN UP THE VOLUME. GONGA HAPA PLEASE!!!
  11. Osaka

    Best Place In The World To Be Born - Nigeria Comes Last!

    Nigeria comes last among the 80 countries covered! Warren Buffett, probably the world's most successful investor, has said that anything good that happened to him could be traced back to the fact that he was born in the right country, the United States, at the right time (1930). A quarter of a...
  12. Osaka

    Obama Victory Spells trouble for Israel's Netanyahu!

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu faces an even more awkward time with Washington and re-energized critics at home who accused him on Wednesday of backing the loser in the U.S. presidential election. With Iran topping his conservative agenda, Netanyahu will have to contend with a...
  13. Osaka

    Majambazi Yateka Magari kadhaa; wakwapua Sadaka toka Kwa Padri - Utimule!

    Salaam wana Jamvi! Jana jioni majira ya saa 11, Ma Padri watatu wa kanisa katoliki walipata wakati mgumu baada kukuta kizuizi barabarani wakati wakirudi toka Sehemu ijulikanayo kama kata ya Kitunda (wilaya ya Sikonge) njia kuu kuelekea Mbeya ukitokea Tabora. Ma Padri hao walikwenda kitunda...
  14. Osaka

    Chips Kuku fried in Transformer Oil!!!

    I salute you all! It’s all about chicken & Chips fried in transformer oil! It is Tanzania’s favorite snacks with fast service, convenient locations, and value for money! Those with extra notes in their pocket ‘ll line up during the day near office blocks, schools, at night discos & bars...
  15. Osaka

    Utaratibu Wa Kuchangia fedha JF ni Upi?

    Salaam wana Jamvi! Mimi nikiwa mkereketwa mmoja wapo wa Jamii Forums, nauliza utaratibu wa kuchangia fedha ktk kikundi hiki ili kizidi kuimarika zaidi. Mwenye kufahamu utaratibu anijuze.
  16. Osaka

    Radi Iliua Timu nzima ya Mpira wa Miguu nchini Kongo!!! Oct, 1998

    Wasalaam wana JF! Bara la Africa linasifika kwa matumizi ya nguvu za giza katika michezo mbalimbali hasa hasa ktk mashindano ya mpira wa miguu ( soccer). Timu nyingi za Africa ya Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikitumia uchawi (fetishism) ktk kabumbu, uchawi huo unajulikana kama kama...
  17. Osaka

    Hivi Tanzania ina Balozi wake nchini Botswana?

    kuna tetesi kuwa Tanzania haina Ubalozi nchini Botswana na badala yake Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ziko Afrika kusini. Kama ni kweli, kwanini inakuwa vile? Je ni nani Balozi wetu nchini Botswana? Kuna mtu hapa jirani yangu anadai ni Balozi nchini Botswana, lakini inavyoelekea...
  18. Osaka

    Caught Red-Handed!!!

    A boy caught his daddy red-handed with their house-girl making love and his daddy gave him 500/= Tshs. not to tell his mummy. Almost refusing the money, the boy said: ''daddy, that's not fair, mummy gave 1000/= Tshs. when I caught her with our gate-man''.
  19. Osaka

    Nine Words Women Usually Say...... Take Care!

    Nine words women usually use: 1.) Fine! This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up. 2.) Five Minutes: If she is getting dressed, this means a half an hour. Five minutes is only five minutes if you have just been given five more minutes to watch...
Back
Top Bottom