Msaada anayefahamu St. Francis De Sales School - Ipuli Tabora

Msaada anayefahamu St. Francis De Sales School - Ipuli Tabora

Osaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
1,762
Reaction score
555
Salaam Wakuu!

Naomba msaada kwa anayefahamu shule hii iliyopo mkoani Tabora.
Shule hii inaendeshwa na Wahindi na nimesikia inafanya vizuri upande wa taaluma kiwilaya, kimkoa na kitaifa.

Kwa mwaka juzi, 2013 upande wa primary matokeo ya mtihani wa STD 7:
Nafasi ya shule kiwilaya: 3 kati ya 72
Nafasi ya shule kimkoa: 4 kati ya 718

Naomba msaada mwenye kujua viwango vya school fees, Boarding school fees pamoja na mahitaji mengine ya Shule hii upande wa primary na secondary.
Au mwenye kujua contacts za shule hii, naomba anisaidie. Niko mbali na mkoa wa Tabora.

Asanteni.
 
Mwenyekujua ile ya morogoro anijuze Mkuu wa shule maana kuna Mwl wangu wa bios o level alihamia huko sina mawasiliano nae na ninashida nae ile mbaya
 
ni shule nzuri sana na mwanangu nimempeleka huko.
Habari mkuu naomba msaada kujua zaidi kuhusu hii shule mwanangu antoka Tusiime mama yake Mkubwa amestaafu amemuomba nimemwambia anipe muda nawaza ubora wa elimu wa hiyo shule shemeji yangu huyo ndio kamlea mke wangu kwa hiyo mwanangu anamuona km mjukuu na hana mtoto hapo kwake naomba msaada mkuu moyo wangu mzito nawaza ubora wa hiyo shule
 
Back
Top Bottom