Search results

  1. 3llyEmma

    VPL: Tupange kikosi bora cha msimu 2020/2021

    Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL). Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na wanaendelea kufanya vzr kama Dube, Chama,MUKOKO, MKANDALA, Manula n.k. HAYA TWENDE > 1. Aishi MANULA 2...
  2. 3llyEmma

    Pendekezo: Mechi kikosi bora cha wazawa VS wageni

    Habari wadau... Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu. Mechi hii inaweza kuchezwa kabla ya NGAO YA JAMII au baada ya LIGI kumalizika. I. Makocha wa kikosi cha wazawa wanaweza kuwa (Mkwasa...
  3. 3llyEmma

    Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

    Hellow Football Fans..!! Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake. Binafsi navutiwa sana na style ya mchezaji wa Bayern Munchen SERGE GNABRY.. ile style yake kama...
  4. 3llyEmma

    Ligi Kuu Tanzania Bara: Nani kuvaa kiatu cha ufungaji bora 2020/2021?

    Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo. Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :.. 1. Prince Dube 2. Adam Adam 3. Obrey Chirwa 4. John Bocco 5. Yusuf Mhilu 6. Medie Kagere 7. Michael Sarpong 8. Bigirimana Blaise JE...
  5. 3llyEmma

    Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

    Kwenu wadau wa Soka Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania. Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na...
  6. 3llyEmma

    High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

    Ndugu salaam.... Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali. Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI. >>Huyu...
  7. 3llyEmma

    Taja wachezaji walioondoka na kurudi tena kwenye timu zao za zamani

    Mdau wa football... Katika maisha ya soka kuna wachezaji waliocheza timu moja mara 2.. Yaani akauzwa, au mkataba wake ukaisha akaondoka then akarudi tena kwenye klabu yake ya zamani na maisha yakaendelea. Mimi naanza na hawa ninao'wakumbuka :-- Wayne ROONEY >> Everton Santiago CARZOLA >>...
  8. 3llyEmma

    Hii Ndio TOP 10 Yangu Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL] 2019/2020..

    Habari wadau wa soka..!! Ukiwa msimu mpya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Primier League (VPL)Umeanza baada ya Msimu uliopita kumalizika na Bingwa kuwa Simba Sc. .. Ikumbukwe msimu uliopita hakukuwa na mdhamini mkuu wa LIGI hivyo kufanya Msimu uliopita kuwa wa mateso kwa Timu nyingi. .. Msimu huu...
  9. 3llyEmma

    KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

    Dakika ya 38 kipindi cha kwanza. Kmc 0 - 1 AS Kigali Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa. Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na Aiyee wanapaswa kuongeza umakini zaidi. Inawalazimu KMC kushinda mchezo huu sababu mchezo wa round...
  10. 3llyEmma

    Thierry Henry apewa kandarasi ya miaka mitatu kuinoa Klabu ya Monaco

    Mchezaji na nyota wa zamani wa Arsenal na Fc Barcelona THIERRY HENRY amesaini miaka mitatu(3)kuwa kocha mkuu wa As Monaco ya Ufaransa. Henry ambae pia ni mshindi wa kombe la dunia1998 akiwa na timu ya taifa lake la UFARANSA amechukua nafasi ya LEONARDO JARDIM ambae amekuwa na matokeo mabaya...
  11. 3llyEmma

    Paul Pogba ahitaji timu mpya ila kocha mpya pale Manchester UTD

    Habari wadau wa sport. Kumekuwa na tetesi za kiungo Paul Pogba kuhitaji kuondoka pale MANCHESTER UTD, huku akitakiwa sana na klabu kama Barcelona, Psg na Juventus ambako ndiko ubora wake umeonekana vzr. Pogba pale united sio kwamba anakosa wachezaji wazuri laah!! Ila anakosa kocha mwenye mfumo...
  12. 3llyEmma

    Ipi dawa nzuri ya kuua wadudu kwenye mahindi?

    Habari ndugu zangu!! Katika Miaka ya hivi karibuni kumetokea Wadudu (mafinyo) kwenye Zao la Mahindi. Wadudu hao wamekuwa wakiharibu Mazao haya ya Mahindi na kupelekea Mmea kushindwa kuweka Mhindi au Kuweka Mhindi Usio na Afya nzuri...Ulioliwa na Wadudu hao. >>Kumekuwapo na dawa ambazo...
  13. 3llyEmma

    Yanga hatoki kwa Singida United leo

    Habari wana'Sport Leo tarehe 11.4.2018 Klabu ya Singida utd kutoka Singida watakuwa Wageni wa YANGA pale Dar. Wakiwa na rekodi ya kuwatoa Yanga kwenye kombe la FA .. Singida utd mchezo wa kwanza wa Ligi kuu walitoa droo na Yanga Kule kwao... Sasa Leo naona Yanga ikifa mbele ya Singida...
  14. 3llyEmma

    Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

    Habari wadau!! Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi ngumu lakini bila ushindi ni kazi sana Kuwa bingwa. Mechi ya Mbeya city, Tz Prison, Lipuli, Yanga...
  15. 3llyEmma

    Ushauri kwa Simba na Yanga

    Habari wadau!! Ni kuelekelea mechi za Kimataifa .. Waelewe mchezo muhïmu na wenye kupata magoli mengi ni huu wa nyumbani... Wasijisahau kumaliza mechi mapema magoli Matatu(3) na zaidi ili kusafisha njia. Jamaa wanafungika Tu
  16. 3llyEmma

    Onyo kwa mfumo wa kocha Masud Djuma wa Simba"

    MAPINDUZI CUP FT: SIMBA 0 - 1 AZAM Huu mfumo wa mabeki watatu(3) anaotumia huyu kocha Masud Djuma wa Simba ndio utamrudisha kwao na kuiacha timu ya simba ktk nafasi mbaya mno. Tena anapokutana na timu zinazojua mpira kama Azam, Yanga, Singida akitumia mfumo huo ataambulia kichapo... Kitendo...
Back
Top Bottom