3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,882
Habari wadau wa soka..!!
Ukiwa msimu mpya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Primier League (VPL)Umeanza baada ya Msimu uliopita kumalizika na Bingwa kuwa Simba Sc.
.. Ikumbukwe msimu uliopita hakukuwa na mdhamini mkuu wa LIGI hivyo kufanya Msimu uliopita kuwa wa mateso kwa Timu nyingi.
.. Msimu huu Vodacom ndie MDHAMINI WA LIGI KUU, wametoa Tsh BILLION 9 kwa miaka mitatu (3).. Hivyo ni mwanya kwa timu kufanya vzr Zaidi uwanjani.
HII NI TOP 10 YANGU KWA HUU MSIMU MPYA.
1. Simba Sc
2. Azam Fc
3. Yanga
4. Lipuli Fc
5. Mtibwa Sugar
6. K.M.C
7. Tz Prisons
8. JKT Tanzania
9. Mbeya City
10. Polisi Tanzania
NB:Maoni Yangu