Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,172
6,882
Hellow Football Fans..!!

Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake.

Binafsi navutiwa sana na style ya mchezaji wa Bayern Munchen SERGE GNABRY.. ile style yake kama anakoroga KAHAWA kwenye kikombe naipenda sana.

Wewe je unavutiwa na style gani kwenye soka..?

HAPPY NEW YEAR
 
Ile style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
Haaaahaaaaaa unanilumbusha siku ile wanatoa droo na yanga nilihuzunika kwa lile goli ila nikaja kucheka ile style yake ya ushangiliaji yaani ni kama mtu ambae kuna jambo lilikuwa linamsumbua muda mreeeeefu (mfano kodi km ulivyosema,mkopo,ada) sasa kalimaliza anawaringishia wapambe nuksi
 
PBKMn1tSMPs.jpg
 
Back
Top Bottom