Paul Pogba ahitaji timu mpya ila kocha mpya pale Manchester UTD

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,172
6,882
Habari wadau wa sport.
Kumekuwa na tetesi za kiungo Paul Pogba kuhitaji kuondoka pale MANCHESTER UTD, huku akitakiwa sana na klabu kama Barcelona, Psg na Juventus ambako ndiko ubora wake umeonekana vzr.

Pogba pale united sio kwamba anakosa wachezaji wazuri laah!! Ila anakosa kocha mwenye mfumo mzuri wa kumtumia kama alivyokuwa JUVE na hata anavyocheza Ufaransa timu yake ya taifa ambayo ameisaidi kuipa world cup.

Kocha Jose Mourinho amekuwa na mbinu na mfumo ambao sio tu unamshinda Pogba ila hata wachezaji wengine ..(mfano player kama HERRERA, LINGARD, MATA wanapewa majukumu ya kukaba dakika zote sawa na Pogba ambapo sasa timu inakosa mchezaji huru uwanjani.. hii inafanya hata LUKAKU kuvuka zone ya kati na kufata mpira nyuma.. hivyo timu inakuwa haijabalance.
Aina ya player kama POGBA sio wa kupewa majukumu ya kukaba kila muda badala ya kutumia muda mwingi kuwa na mpira ili apandishe mashambulizi kwa striker na winger zake.
Ndio maana anatajwa ZIDANE kuja pale OT.. ifikie wkt tukubali soka limebadilika.
 
Wote wakishakua huru nani atakalia mtu?

Hata Luka Modric, Raticik, Kroos na Iniesta wanakaba na kabumbu wanapiga fresh tu. Ni wabovu tu ao wanatafuta visingizio.
 
Na aende zake tu hazidishi wala hapunguzi.
Man Utd kuanzia viongozi wake mpaka mashabiki wake wamechoka mno. Hivi Pogba ni mtu wakuwaumiza kichwa? Mzee wakitaliano wa Chelsea Kalete viumbe viwili Jorginho na Kovacic jamaa wanapiga mpira kinoma. nyie subirini mkato mpya wa nywele wa pogba.

Watafute viongo vya ukweli kama kina Dogo Rabiot na Draxler waje wapige kabumbu waachane nahao wazembe.
 
Mkuu mchezaji anaejitambua hata kama anapewa majukumu ya kukaba sana basi akishindwa huwa anasubiri apate mpira acreage nafasi sasa pogba kote anashindwa anaishia kung'ang'ania penalt

Man Utd wanavurunda sana kwenye usajili aisee, Pogba, Lukaku, Felaini, Marshal, yani ni mizigo tu.

Hebu tuwatizame City, De bryne, Silva wawili, Aguero, Sane, Na sahivi kuna bunduki mpya Mahrez .

Alafu bado wanamtafuta mchawi.
 
Manager gani kila tèam ùnayoenda unakuwa na beef na wachezàji, ni mpiga dili huyu hapo anasubiri avunjiwe mkataba alambe pesa zakutosha
 
Wote wakishakua huru nani atakalia mtu?

Hata Luka Modric, Raticik, Kroos na Iniesta wanakaba na kabumbu wanapiga fresh tu. Ni wabovu tu ao wanatafuta visingizio.
Iniesta Apaki basi... Leta mrejesho Pogba kawa Lulú
 
Na aende zake tu hazidishi wala hapunguzi.
Man Utd kuanzia viongozi wake mpaka mashabiki wake wamechoka mno. Hivi Pogba ni mtu wakuwaumiza kichwa? Mzee wakitaliano wa Chelsea Kalete viumbe viwili Jorginho na Kovacic jamaa wanapiga mpira kinoma. nyie subirini mkato mpya wa nywele wa pogba.

Watafute viongo vya ukweli kama kina Dogo Rabiot na Draxler waje wapige kabumbu waachane nahao wazembe.
MZEE wa Sarriball njoo huku
 
Tatizo ilikuwa yule Mreno Morinho na style zake za Kukabia nyuma kushambulia dolo
 
Kwenye mechi 10+ za OLE umeona mechi 1 ambayo utd alipigwa, vipi walizoshinda akifunga na kuasist?

Au ndio nyie wa 6-0
 
Back
Top Bottom