Search results

  1. T

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Nyaraka zipo. Unaambia saini hapa wala hupewi muda wa kusoma nyaraka nzima kujiridhisha na kilichomo. Au wewe uliwahi kupewa nyaraka hizo uendenazo nyumbani ukazisome kabla ya kuzisaini halafu urudi benki kesho yake kuzisaini na kuwakabidhi? Tuelimishe.
  2. T

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kwani ndoa huwa zinavunjika kwa KIBALI?
  3. T

    CCM tumefika mwisho wa kufikiri, tuwape nchi Wapinzani

    Aliwahi kusema mmoja wa waasisi wa CCM kuwa tumeishiwa pumzi. Hata kwa hili kweli!!!!
  4. T

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.
  5. T

    Serikali: EWURA inafanya tathmini ili kupata bei moja ya Diesel na Petrol nchi nzima

    Ni wajinga tu wanaweza kuamini maneno ya mbunge aliyeuliza swali na majibu ya naibu waziri aliyejibu hilo swali. Huyo naibu waziri hatakiwi kuwa anakikalia hicho kiti kwa sasa.
  6. T

    Serikali: EWURA inafanya tathmini ili kupata bei moja ya Diesel na Petrol nchi nzima

    Tofauti ya bei iko wazi na huhitaji kuwa waziri kulijua hilo. Tatizo ni uongo wa kila siku wa hawa ndugu zetu. Tofauti ya bei kati ya mkoa na mkoa inatokana na gharama za usafirishaji tu basi.
  7. T

    Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Ni kweli niliteleza nisamehe kaka.
  8. T

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Sina hakika kama makala hii ndefu inamlenga Tundu Lissu kama binadamu tu au inamlenga kama binadamu lakini pia kama mwanasiasa mpinzani mahiri wa CCM. Mimi nina kidole cha pili (SHAHADA) ambacho urefu wake unalingana na urefu wa kidole cha tatu (CHA PETE). Vidole vinavyobaki ni GUMBA na CHA...
  9. T

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Unajua CCM wengi huwa hawana akili ya kuchanganua mambo kwa weledi. Ndiyo maana wanatuangusha katika kila nyanja. Sasa kwa kuingia na jezi alizozitaja kunasababisha nini? Ndiyo maana nchi yetu inasuasua kwenye maendeleo. Hivi watu wakiingia bila hizo jezi alizokataza halafu kwa mfano kwenye...
  10. T

    Use of Biogas - Is it safe?

    Hydrogen Sulfide is a byproduct produced in Biogas Digester systems. It is both toxic and can burn thereby causing uncalled for loss of life because it is poisonous. The use of biogas without first cleaning Hydrogen Sulfide from it can cause death. Take care.
  11. T

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Wanalenga 2025 na 2030 bila kubagua. Hakuna formula kwenye siasa. Ni political re-alignment strategy.
  12. T

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Power consolidation ni ukweli mmoja lakini usisahau na Power struggle.
  13. T

    Kifo cha Hayati Magufuli ni utata mtupu, kila kiongozi anasema lake. Kulikuwa na uzembe

    Mimi alinifurahisha sana kwenye suala la vyeti feki. Sana tuuu. Hili tatizo linazidi hata tatizo la rushwa.
  14. T

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Mahojiano nimeyasikiliza kwa kuyarudiarudia kwa makini. Mabeyo ni mtu makini sana ninamjua. Lakini kwa maoni yangu mahojiano hayo hayakuwa yanalenga kueleza kilichotokea wakati ule wa immediately kabla ya kifo cha JPM na mara baada ya kifo chake bali yanaashiria kinachoendelea huko ndani ambacho...
  15. T

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Ndiyo maana tunaambiwa chezea kila kitu siyo familia na nyumbani kwako. Utarudi tu.
  16. T

    Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene mbona hasikiki muda mrefu kama msemaji? Yuko wapi?

    Na CCM msemaji wake ni nani na huwa anasema nini?
  17. T

    Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
  18. T

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Tanzania na hasa Dar es Salaam walishindwa hata kupambana na KUNGURU mijini. Kunguru wamejaa kila mahali. Walipata mkopo wa kupambana nao sasa ukiwauliza mafanikio watakwambia uongo mtupu. Ni waongooooooooo sana. Acheni uongo kuzinusuru nchi zetu. Vituo vya Daladala vinanuka harufu ya samaki...
  19. T

    Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Takwimu ni jambo jema na linasaidia kuonyesha njia. Utekelezaji wa mipango ya maendeleo ni jambo tofauti kabisa. Uongo mwingi sana ndilo donda ndugu linaloitafuna Africa. Wakiacha uongo tutapata nafuu kubwa kuelekea njia ya kuzipatia nchi zetu maendeleo ya kweli.
Back
Top Bottom