Search results

  1. Yna aika

    Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini?

    Wakuu,Habarini. Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini? Na je kwa watoto wadogo kuanzia umri gani anatakiwa kupata chanjo io. Ahsanteni.
  2. Yna aika

    Leo nmeamka na mood ya mapenzi sana

    Leo nmeamka na mood ya mapenzi sana. au ni hali ya khewa hii[emoji12] Dedication kwa Babe wangu,Baby dady(Meck). Darassa feat Bien-No body No body can love you better than i do baby.
  3. Yna aika

    Nimeng'atwa na tandu, huduma ipi ya kwanza nipate?

    Habari ya usiku wapendwa, nmeng'atwa na tandu usiku huu ila nmefanikiwa kumuua, Huduma ipi ya kwanza niipate kabla ya asubuhi? Kuna storu nyingi kuhusu tandu zinszoogopesha. Msaada tafadhali
  4. Yna aika

    Nimeibiwa hela za ofisi na wallet mazingira tatanishi ofisini

    Habari za wakati huu wana jamvi. Nmeona nije uku niandike nitoe machungu ya moyoni maana nahisi kuzidiwa na maumivu. Nmeibiwa leo asubuhi kazini, hela za ofisi pamoja na wallet yangu iliyokuwa na vitambulisho na hela pia na zimeibwa kwenye hali ambayo nikikueleza ata haieleweki. Ilikuwa...
  5. Yna aika

    Naomba kujuzwa vyakula vinavyoongeza damu kwa haraka

    Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu ni vyakula vipi vinasaidia kuongeza damu mwilini kwa haraka, Mbarikiwe.
  6. Yna aika

    Umeshawahi kukata tamaa?

    Mimi nimekata tamaa, nimefika mahali ambapo sioni mbele, nipo mahali ambapo ni kama jangwa sioni tumaini kabisa, nimechoka sana. Mama yangu anaumwa kansa, ana fight nayo sana sijui ni kansa ya nini ila imesababishwa na kidonda, alikuwa na kisukari akapata kidonda na icho kidonda hakijapona hadi...
  7. Yna aika

    Mgonjwa anaweza kupona Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini?

    Habarini wakuu, Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini kuna uwezekano wa mgonjwa kupona? Mama yangu alipatwa na jipu likapelekea kidonda kikubwa sana na sasa ana Cancer ila ipo eneo ilo tu lenye kidonda na ameanza tiba mionzi. Kuna uwezekano akapona kabisa...
  8. Yna aika

    Sofa inauzwa Tsh:150,000 tu

    sofa inauzwa bado mpya imetumika kwa miezi miwili, Nipo morogoro kwa anehitaji anicheck pm.
  9. Yna aika

    NATAFUTA AJIRA NINA DIPLOMA YA PROCUREMENT.

    Habarini wana jamvi, Mimi ni msichana nina miaka 25, natafuta ajira nina uzoefu wa miaka 4 nikifanya kazi kama Admin Assistant. miaka mi 3 nikiwa katika mradi wa elimu na mwaka 1 kwenye mradi wa barabara. nina uhitaji wa kazi, Tafadhali naomba ni'PM kwa maelezo zaidi na kama kuna nafasi ya...
  10. Yna aika

    Account yangu ya Instagram,

    Habari za asubuhi, Asubuhi ya leo nafungua account yangu ya instagram nikakutana na kitu iki, siwezi ku'log in, msaada mwenye ufahamu na ili. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Yna aika

    Chakula kwa mgonjwa wa kisukari

    Habarini wana jamvi Mama yangu amekua akisumbuliwa na kisukari kwa miezi miwili sasa,na changamoyo kubwa imekua ni vyakula gani vizuri kwa mtu mwenye ugonjwa huu. msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Yna aika

    Natafuta chumba cha kupanga Mororgoro mjini

    Habari ya humu ndani jamani, Natafuta chumba kimoja self Morogoro, nina uhitaji mno kwa dalali na ambae mwenye nyumba naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani
  13. Yna aika

    Looking for you

    Habarini wanajukwaa, Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani. Mimi ni msichana nina miaka 24, nimuajiriwa sekta binafsi Iringa, Msukuma kwa kabila na ni mkristo...
Back
Top Bottom