Natafuta chumba cha kupanga Mororgoro mjini

Natafuta chumba cha kupanga Mororgoro mjini

Habari ya humu ndani jamani,

Natafuta chumba kimoja self Morogoro, nina uhitaji mno kwa dalali na ambae mwenye nyumba naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukrani
KIONGOZI kuna vyumba viwili hapa tumbaku daladala mpaka mjini ni wakina tatu unafika kituoni
Viko poa sana bei 35k @
Karibu sana KIONGOZI
No dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom