Mgonjwa anaweza kupona Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini?

Yna aika

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
349
1,010
Habarini wakuu,

Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini kuna uwezekano wa mgonjwa kupona?

Mama yangu alipatwa na jipu likapelekea kidonda kikubwa sana na sasa ana Cancer ila ipo eneo ilo tu lenye kidonda na ameanza tiba mionzi.

Kuna uwezekano akapona kabisa na kurejea hali yake ya kawaida na kidonda kikafunga kabisa?
JF Doctors msaada wa maelezo ya kitabibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakuwa poa na kupona cha muhimu afate masharti ya tiba kwa usahihi.
 
Huku akipata hiyo mionzi mtengenezeeni pia majani ya Mstafeli chemsha lita moja anakua anakunywa kidogo kidogo kwa siku,

Kuna hili komamanga (Pomegranate) awe anakula aidha kwa juice au lenyewe atafune,

Majani ya henna pia ni dawa nzuri sana akichemsha na kunywa.

Good Luck.
 
majani ya mstafeli anatumia pia,.ua tunamsagia anakunywa na wakati mwingine tunamchemshia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, stage one anaweza akapona kabisa.
Kazana na matibabu
Habarini wakuu,

cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini kuna uwezekano wa mgonjwa kupona?

Mama yangu alipatwa na jipu likapelekea kidonda kikubwa sana na sasa ana cancer ila ipo eneo ilo tu lenye kidonda na ameanza tiba mionzi.

kuna uwezekano akapona kabisa na kurejea hali yake ya kawaida na kidonda kikafunga kabisa?
Jf doctors msaada wa maelezo ya kitabibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Cancer stage ya kwanza na ambayo haijaenea wala kuathiri chochote mwilini kuna uwezekano wa mgonjwa kupona?

Mama yangu alipatwa na jipu likapelekea kidonda kikubwa sana na sasa ana Cancer ila ipo eneo ilo tu lenye kidonda na ameanza tiba mionzi.

Kuna uwezekano akapona kabisa na kurejea hali yake ya kawaida na kidonda kikafunga kabisa?
JF Doctors msaada wa maelezo ya kitabibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amemtwaa mama yangu,.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom