Looking for you

Yna aika

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
349
1,010
Habarini wanajukwaa,

Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani.

Mimi ni msichana nina miaka 24, nimuajiriwa sekta binafsi Iringa, Msukuma kwa kabila na ni mkristo ninaemcha Mungu sana. Nahitaji mwanaume umri kuanzia 27-32 awe mkristo, mpentekoste atapatakipaumbele zaidi.

Aliepo tayari karibu PM.

Kama haupo serious please usijisumbue kabisa na kupoteza mda w

UZI UMEFUNGWA.
 
safi sana mdg wangu !kwa kabila hapo napigia chapuo !soon utaolewa
Dadaake Bashite amepaza kilio cha kutafuta storongo ya kudumu...

Nachowapendea walokole, kabla hujaingiza storongo kwenye kikojoleo chake lazima kwanza mfanye sala ya toba...
 
ahahha hv muda huo huwa mic umeshika au mpo kwenye nguo bado?
 
Habarini wanajukwaa,

Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani.

Mimi ni msichana nina miaka 24, nimuajiriwa sekta binafsi Iringa, Msukuma kwa kabila na ni mkristo ninaemcha Mungu sana. Nahitaji mwanaume umri kuanzia 27-32 awe mkristo, mpentekoste atapatakipaumbele zaidi.

Aliepo tayari karibu PM.

Kama haupo serious please usijisumbue kabisa na kupoteza mda wako.
kWAIYO WAKIJA WALIO SERIOUS WATANO, unawachuka wote..!

Sema first inn, last out..! utaeleweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom