Search results

  1. Nejad Rocket

    Kila nikinywa kahawa nakuwa msumbufu Kwa wife.

    Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote. Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni tatizo au nini?[emoji26]
  2. Nejad Rocket

    Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

    Wadau habari za wikiendi. Katika pita pita zangu mwezi Wa sita nikakutana na bint wa Kiiraq mtandaoni wa Mto wa mbu tukaanza kuchati kama utani Jana nikafunga safari tukaonane. Leo asubuhi tukakutana cha ajabu nimemkuta ana Vitz sehemu aloniambia tukutane.Baada ya stories nashangaa...
  3. Nejad Rocket

    Bosi hana muda na mtoto wake mgonjwa. Dada wa kazi ageuka shujaa

    Habari za asubuhi kuna dada wa kazi wa jirani yangu kaja tukapiga stori kadhaa baada ya boss wake kusafiri. Alichoniambia kimenistua mpaka nimëmpa 20000 kama hongera. Alichoniambia ni kuwa boss wake hakai nyumbani hutoka toka na kumwachia mwanae mgonjwa mgonjwa. Leo ni siku ya saba boss wake...
  4. Nejad Rocket

    Housegirl kanitoroka Ubungo

    Nimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize. Nikampigia Simu anisubiri twende wote hapokei simu. Nilipowajaribu ndugu zake tena...
  5. Nejad Rocket

    Benki tunapenda huduma zenu lakini jirekebisheni katika hili muaminike zaidia

    Habari wakuu.Naandika malalamiko yangu juu ya baadhi ya benki kuchelewa kurudisha(reverse) miamala iliyokosewa kwa wakati.Yapata mwezi sasa dada yangu alituma pesa kutoka benki fulani kwenda benki nyingine kiasi cha milioni mbili kama ada ya mwanae ya chuo. Chuo hicho kina akaunti tatu tofauti...
  6. Nejad Rocket

    Wanawake wenye gubu mtaachika sana

    Habari za jioni! Kuna baadhi ya wanawake kila siku gubu ukali kumfokea mumewe Mbele ya watoto mara watoto wanakwepa ngumi ya mama duu nyumba ya moto tatixo nini? Papuchi watu wanapigana mitama kwanza ndo mwanaume ampumulie kisogo mkewe.Jirani yangu kavimba mdomo kila siku anabamizwa na mwiko...
  7. Nejad Rocket

    Baadhi ya wazazi mitihani mikubwa sana

    Kuna jamaa mwenzangu analalamika kila siku huku akifikiria cha kufanya na kukwama kimawazo. Yeye anaishi na mzazi wake mmoja wa kike baba yake alifariki.Tatizo huyu mzazi wake hajiwezi mke wa huyu jamaa ndo anampikia kumfulia na kila kitu. Watoto wengine wanamletea pesa wako mjini na ni nadra...
  8. Nejad Rocket

    Gari linapoungua engine yaweza tengenezeka?

    Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue. Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika moto kisawasawa?
  9. Nejad Rocket

    Nimeanza kujenga kijijini watu wananibeza eti bora ningelijenga mjini

    Hi greatest thinkers, Nimeanza ujenzi kijijini sasa hivi nyumba ipo kwenye lenter navuta nguvu nyingine nimalizie.Tatizo kuna baadhi ya watu kijijini wananibeza eti ninajenga chaka bora ningejenga mjini. Najiuliza hili swali kwanini watu wana dhana hii mimi naiita potofu.Hata baadhi ya watu...
  10. Nejad Rocket

    Siku ya tatu kuna msichana mweupe ananijia ndotoni akijificha usoni

    Wadau ninavyoandika uzi huu nawaza leo tena sijui atanitokea ndotoni sura yake huwa siioni namuona akiwa ufukweni tu sura anajificha sana. Kila akinitokea asubuhi najikuta nimejichafua bukta Kwa migundi anakuwa akinipapasa miguuni kwenye nyayo huku kavaa kinguo kinachoonesha mapaja meupe...
  11. Nejad Rocket

    Mama, baba, kaka, wote nchini tuwe wakali kwa waharibifu wa dada zetu

    Hi great thinkers nawaomba wote Tanzania tuwe wakali kuwakemea Dada zetu wanapojiingiza katika mikono ya waharibifu kwakuwa itakuwa hasara Kwa Dada zetu.Ukiona mvulana hana muelekeo Kwa Dada yako muonye kisaikolojia kabla ya kumuumiza kiakili ndugu yako. Ikibidi benchi la ufundi litumike endapo...
  12. Nejad Rocket

    Mabosi mnaoishi na wake za watu maofisini Mungu awalaani

    Nimejisikia vibaya sana mke wa mtu anasaulwa pichu mchana kweupe gesti jina nalihifadhi.Mke huyo wa mtu ambae mumewe pia ni mtumishi hana analojua lakini nimemjulisha bila kujua ni Mimi nilie mjulisha. Mbaya zaidi huyo mwanamke kaungua bosi anaona ujiko kula cha mtu ambacho kisinge faa...
  13. Nejad Rocket

    Namuunga mkono Dada yangu Ray C.

    Mmeamkaje? Katika siku kadhaa zilizopita Dada Ray C alimuomba JPM na serikali yake kuwa kuwe na sheria inayozuia urafiki kabla ya ndoa.Leo nimegundua aliona mbali sana. Wapo mabint wengi wana rubuniwa na wanaume wazima na vijana wenzao pia.Wanaishi kwenye urafiki Kwa miaka huku jamaa wakiosha...
  14. Nejad Rocket

    So sad:Sijawahi kusikia au kuona umoja huu.

    Nimeona umoja wa makabila tofauti hapa nchini wanapokuwa sehemu tofauti nje ya walipozakiwa.Mfano umoja wa wasambaa wa Lushoto waishio Zanzibar. Nije kwenye hoja sasa.Katika tembea yangu yote hapa nchini sijaona umoja wa watu wenye asili ya Asia waishio mkoa Fulani.Tatizo lipo wapi? Jana...
  15. Nejad Rocket

    Home Alone:Is it true that Calvin asked Donald Trump a guestion.?

    Hi great thinkers! Someone whispered me that Calvin got luck to talk to Donald Trump. Calvin: Excuse me where is the lobby? Trump: Down the hall to the left. Calvin: Thanks. I"m not good in searching evidences anybody there help me confirm this.Thanks.
  16. Nejad Rocket

    Mrejesho: Watoto wa mstaafu baada ya kupewa mitaji na baba yao

    Hi great thinkers baada ya juzi mwalimu mstaafu kuwapa mitaji wanae pesa zimeanza kutumika kama ifutavyo: Watoto wa kike wawili wamenunua shamba ekari tano wameshanunua miche ya michungwa wanajiandaa kuipanda. Wawili wa kike kila mmoja wamenunua vifaa vyote muhimu vya kufungua migahawa ikiwemo...
  17. Nejad Rocket

    Tende zinaharibika je zinatengenezwaje?

    Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi.
  18. Nejad Rocket

    Eti ni kweli huko Mombasa mwanaume wa Tz akienda harudi tena?

    Nimeinyaka sehemu Fulani kuwa eti Mombasa Kenya ukipata msambwanda unakana uraia kabisa jinsi utakavyo bebwa kwenda bafuni mbupu zikawekwa kwenye kisosi zikisafisha Kwa ustadi wa hali ya juu. Unaogeshwa unafutwa na taulo ukiwa mapajani udi unanukia samaki wa Ferry ya Likoni kashapakwa...
  19. Nejad Rocket

    Mrejesho: Kikao cha kutoa mitaji kwa watoto wa mstaafu

    Habari za asubuhi wana Jf.Jana usiku nilishirikishwa kikao cha familia ya Mzee mmoja mstaafu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Muheza Tanga. Huyu mzee ni msambaa amepata milioni 77 ana watoto 6 wanne wa kiume wawili wa kike.Ni rafiki yangu sana ndo mana kanikaribisha kwenye kikao baada ya...
  20. Nejad Rocket

    Asanteni mlionishauri ushauri wenu umezaa matunda

    Habari zenu Jf niliomba ushauri kuhusu kuomba kuruhusiwa na mke wangu ninywe Kwa Uhuru. Nilimuomba Jana usiku Kwa unyenyekevu kabisa huku nikimwambia nilishauriwa na daktari kabla sijamuoa Bali nilimficha kuhofia kumkosa. Alisita lakini akakubali nikamwambia kama haamini amuulize ba mdogo...
Back
Top Bottom