Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Mmeamkaje? Katika siku kadhaa zilizopita Dada Ray C alimuomba JPM na serikali yake kuwa kuwe na sheria inayozuia urafiki kabla ya ndoa.Leo nimegundua aliona mbali sana.
Wapo mabint wengi wana rubuniwa na wanaume wazima na vijana wenzao pia.Wanaishi kwenye urafiki Kwa miaka huku jamaa wakiosha rungu na kujifuta miguu yao kwenye tambaa la mlangoni.[emoji35]
Matokeo yake mabint wanachakaa baada ya kufanywa sexual practice field wana be dumped na kukata tamaa na kuharibiwa ndoto zao[emoji35] [emoji35]
Hivyo endapo sheria hizi zitatungwa itakuwa muarobaini wa kilio cha Dada zetu wanaungua rohoni Kwa mateso.[emoji35]