Wanawake wenye gubu mtaachika sana

Wanawake wenye gubu mtaachika sana

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
198
Habari za jioni!

Kuna baadhi ya wanawake kila siku gubu ukali kumfokea mumewe Mbele ya watoto mara watoto wanakwepa ngumi ya mama duu nyumba ya moto tatixo nini?

Papuchi watu wanapigana mitama kwanza ndo mwanaume ampumulie kisogo mkewe.Jirani yangu kavimba mdomo kila siku anabamizwa na mwiko.

Anaongea kama speaker akiingia ndani tu kimya wote kama paka aliyeingia chumba chenye panya.Nawahakikishia wanawake wa mtindo huu hamtoolewa na mkiolewa mtaachika.Swear it.
 
Wenye gubu DAWA yao ni kumla hausigelo kwenye makochi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom