Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Nimeona umoja wa makabila tofauti hapa nchini wanapokuwa sehemu tofauti nje ya walipozakiwa.Mfano umoja wa wasambaa wa Lushoto waishio Zanzibar.
Nije kwenye hoja sasa.Katika tembea yangu yote hapa nchini sijaona umoja wa watu wenye asili ya Asia waishio mkoa Fulani.Tatizo lipo wapi?
Jana nilikuwa Manyara nipo Kwa kazi maalum.Saa sita mchana nilikuwa Hotel flañi ya makuti napata lunch akatokea kijana mmoja mwenye asili ya Kiasia anaonekana Chotara kachanganya na mbongo mweusi.
Akakaa kando nilipomaliza kula akaja nilipo akaniambia bro mi mgeni hapa Mjini nimekuja kutafuta kazi sina kazi waweza nisaidia mawazo.Nikamjibu Mimi pia mgeni labda uliza wenyeji.
Akaondoka kinyonge nikawa nasikitika kuona kijana anapata tabu kutafuta mkate wake lakini pia nikajiuliza hivi hakuna umoja wao ili aende akawaombe mawazo?
Waasia mnaoishi Tanzania msitupe damu zenu wasaidieni waishi kama mnavyoishi nyie maisha mazuri.Chotara wengi sana wanaishi Kwa tabu hapa nchini.
Undeni umoja wenu sehemu tofauti hapa nchini kama wafanyavyo makabila tofauti kila sehemu muweze kusaidiana.Wassalaam.