Search results

  1. B

    Nauza mahindi meupe. Napatikana Mbinga, Ruvuma

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane. Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30. Bei kwa sasa ni shilingi 600@kg, hapa inajumuisha Bei ya MAHINDI, gharama za kupeki pamoja na ushuru. MAHINDI yanapatikana Mbinga mkoa wa Ruvuma. Mawasiliano, 0758719493
  2. B

    Nauza mahindi- niko Mbinga, Ruvuma

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane. Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30. Bei pia ni kulingana na bei ya soko Kwa wakati husika.
  3. B

    MSAADA- CHIMBO LA SPARE ZA PIKIPIKI ZA MCHINA

    Habari ndugu zangu, naomba kwa yeyote mwenye kujua chimbo/sehemu panapouzwa vifaa/spare za pikipiki za mchina Kama SAN LG, HAOUJUE NA SINORAY kwa bei ya jumla na bei rafiki tafadhari naomba kuelekezwa.
  4. B

    Ufafanuzi kuhusu makato na tozo za urejeshaji mikopo ya elimu ya juu

    UFAFANUZI KUHUSU MAKATO NA TOZO ZA UREJESHAJI MIKOPO YA ELIMU YA JUU Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu maoni yaliyotolewa na wadau wetu mbalimbali kupitia vyombo vya habari vya jana (Jumanne, Februari 2, 2021) na leo (Jumatano, Februari 3, 2021) kuhusu makato na tozo katika urejeshaji wa mikopo...
  5. B

    Msaada wa chimbo la spare za pikipiki kwa bei ya chini

    Habari wanajamvi bila shaka Mungu anaendelea kumpigania kila mmoja wetu kwa namna ya pekee! Niende kwenye mada moja kwa moja, ni hivi baada ya kuingia mzee baba nilishindwa kuendelea na biashara yangu sababu ya kushuka kwa mauzo, basi baada ya muda kupita nadhani bado matamanio ya kuwa na ofisi...
  6. B

    Mambo mawili niliyoshuhudia: Je, ni mbinu mpya ya ukusanyaji mapato?

    Wadau habarini? Hivi majuzi baada ya kutoka mshahara wa mwezi mei kwa watumishi wa umma workmate mmoja alilalamika kuwa amekatwa mshahara wake na kiasi hicho cha fedha kinaonekana kuingizwa kwenye chama cha wafanyakazi (CWT) baada ya mjadala wa muda tukamhimiza afuatilie ofisi husika, binafsi...
  7. B

    Msaada: Nimeibiwa simu na pesa. Nina imei, polisi sijasaidiwa

    Msaada wa ni hatua zipi naweza fanya zaidi ili nimpata mwizi wangu. Tarehe 7/12/2019 niliibiwa simu pamoja na fedha, nikapeleka polisi taarifa, nikaandikiwa loss report, nikaenda kwa mtandao wa simu nika-renew line, nikaenda tena polisi nikapeleka IMEI pamoja na box la simu wakidai itawasaidia...
  8. B

    Msaada wa kisheria juu ya haki yangu kwa mtoto

    Kuuliza ni kutaka kujua ama kupata ufafanuzi, ninakusudia kwenda mahakamani kuomba haki ya kuweza kumuona ama kutembelewa na mtoto wangu (binti wa miaka mitano) baada ya kutengana na mama yake. Iko hivi baada ya mgogoro wa muda mrefu tuliamua kwa hiari yetu kutengana huku tukijiandikia...
  9. B

    Nini maana ya H2.64 kwenye TV decoder?

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimeona free to air tv decoder inayoshika channel hadi 400 bila kulipia kwa maelezo ya muuzaji Aliye express, nikataka kujua kama decoder hiyo inaweza kunasa hata maeneo ya nje ya mji, akanijibu kuwa kwa meneo yote yenye kunasa H2.64 decoder hiyo inafanya kazi na...
  10. B

    TRA- Custom department na ucheleweshaji wa parcel

    Wadau kwa wazoefu wa kuagiza bidhaa ndogo ndogo kama simu nje....sijawaelewa hawa jamaa parcel yangu imeingia tangu tarehe 1/ 08 lakini hadi naandika unaonyesha umekwama custom, nimejaribu kufuatilia posta nao wanashangaa kuwa ni siku nyingi hizo, nimejaribu kuwapigia simu hata hawapokei. Kwa...
  11. B

    Kwa wazoefu wa kununua bidhaa mtandaoni

    Amani iwe kwenu! Hivi karibuni nilifanya manunuzi ya simu kupitia AliExpress, account yangu ya mtandao husika inanieleza kuwa seller alituma mzigo hadi tar. 23 inaonyesha kuwa mzigo umekuja Tanzania. Hadi leo sijapata taarifa zozote kutoka posta juu ya mzigo huo. Je kutakuwa na hatua bado...
  12. B

    Wafanyakazi tupambane na tunaowaweza - vyama vya wafanyakazi

    Huyu mwingine anayejiita mwajiri mkuu ameisha ota mapembe, na huku uraiani tukilalamika lawama kwetu eti sisi ndo tunawapa ushindi wa bure. Kiukweli maumivu tunayopitia mungu ndo anajua, haki zetu zinakanywagwa miaka minne sasa na hapo tunaambiwa hapa kazi tu.....ieleweke kuwa hatuzungumzii...
  13. B

    Msaada wa kidaktari. Tatizo la kutokwa vidonda kwenye viwiko vya mikono na miguuni

    JF doctors, kuna raia amekuwa akitokwa na vidonda kwenye kiwiko cha mkono ( mikono yote miwili) na sehemu za mikunjo miguunu ( sehemu ya nyuma). Alipokwenda hospital DK. alisena ni allergy na akapewa dawa ( Griseofluvin) na dawa nyingine ya kupaka ambayo ameisahau jina. Lakini baada ya kutumia...
  14. B

    Mrejesho: Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na mke wangu!

    Habari wana-JF! Tarehe 16 December 2018 nilileta uzi wenye kichwa " Nataka nifanye maamuzi ya kuachana na mke wangu"Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu - JamiiForums. Baada ya michango yenu hapa pamoja na tafakuri ya muda mrefu ya kwangu binafsi na baada ya kuwashirikisha...
  15. B

    Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

    Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha. Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi. 2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu...
  16. B

    Msaada ukubwa banda la kuku wa mayai 500

    Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na mwisho aina nzuri ya kuku wa mayai! Sent using Jamii Forums mobile app
  17. B

    MSAADA UJUMBE WA unfortunately google has stopped kwenye Tecno C9

    Simu imefanyiwa reset baada ya hapo inashindwa kukamilisha hatua za awali....kwanza inanitaka niunganishe Wi-Fi na nikiunganisha inafika kwenye kipengele cha kusearch updates then inalete ujumbe tajwa na kurudi mwanzo. Nimejaribu hata kufanya factory mode na ku clear data bado tatizo ni lile...
  18. B

    Wapi naweza pata pump za maji kama hii

    Naomba kupatiwa masaada wa wapi naweza pata pump za maji kama hii pichani kwa Dar au Mbeya pamoja na bei zake.
  19. B

    Tujuzane usalama wa kununua vifaa vya umeme mtandaoni kutoka Zanzibar

    Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara. Kutokana na bei zao kuwa chini wanavutia wahitaji kutaka kununua lakini changamoto kubwa ni maswala ya usalama...
  20. B

    Tujuzane usalama wa bidhaa za elections zinazotangazwa mtandaoni kutoka Zanzibar

    Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara. Kutokana na bei zao kuwa chini wanavutia wahitaji kutaka kununua lakini changamoto kubwa ni maswala ya usalama...
Back
Top Bottom