BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 364
- 816
Kama kichwa kinavyojieleza, nimeona free to air tv decoder inayoshika channel hadi 400 bila kulipia kwa maelezo ya muuzaji Aliye express, nikataka kujua kama decoder hiyo inaweza kunasa hata maeneo ya nje ya mji, akanijibu kuwa kwa meneo yote yenye kunasa H2.64 decoder hiyo inafanya kazi na uwezo wa kufikisha channel 400 itategemea na nguvu ya signal husika. Je hiyo H2.64 nini maana yake? Je ni maeneo gani inashika ama ni yote kwa hapa Tanzania?