Msaada wa kidaktari. Tatizo la kutokwa vidonda kwenye viwiko vya mikono na miguuni

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
May 6, 2017
338
722
JF doctors, kuna raia amekuwa akitokwa na vidonda kwenye kiwiko cha mkono ( mikono yote miwili) na sehemu za mikunjo miguunu ( sehemu ya nyuma). Alipokwenda hospital DK. alisena ni allergy na akapewa dawa ( Griseofluvin) na dawa nyingine ya kupaka ambayo ameisahau jina.

Lakini baada ya kutumia hakuna mabadiliko yoyote na tatizo limezidi kuongezeka siku hadi Siku, kabla ya kwenda hospital nyingine ninaomba mawazo yenu je hili linaweza kuwa ni tatizo gani? Picha hiyo ndo tatizo lilivyo!
IMG-20190309-WA0033.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom