Nauza mahindi meupe. Napatikana Mbinga, Ruvuma

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
May 6, 2017
338
722
Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane.

Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30.

Bei kwa sasa ni shilingi 600@kg, hapa inajumuisha Bei ya MAHINDI, gharama za kupeki pamoja na ushuru.

MAHINDI yanapatikana Mbinga mkoa wa Ruvuma.

Mawasiliano, 0758719493
 
Kwa hiyo tani moja ni laki 6 so tani 30 ni 18m gharama ya kusafirisha hadi dodoma tani 1 ni 120k so kwa tani 30 ni 3.6m roughly Milioni 4! Kwa hiyo mzigo ntakuwa nimeipata kwa 22m! Almost 71k kwa gunia. Siyo mbaya mzigo ukiwa wa uhakika na biashara ya uaminifu! Ila mkuu sasa ivi mahindi si hayajakauka vzr?
 
Ndiyo mkuu hizo ndio gharama halisi za mzigo kwa sasa Hadi Dodoma, na kuhusu kukauka ondoa shaka huku nilipo MAHINDI yanaanza kukauka mwezi wa nne mwishoni mvua za masika zinapokoma, hivyo MAHINDI yamekauka mwezi wa Tano na sita wote shambani muda huu ndio wanavuma.

Kuhusu uhakika wa mzigo na uaminifu pia ondoa shaka ninakila kila document ya kibiashara na vitu vingine ambavyo kwa vyovyote vile lazima biashara yangu ijikite kwenye ukweli na uaminifu. Kwa maelezo zaidi tuwasilishe kwa namba hizo.
 
Ok sawa
 
Kuna Yale mahindi yenye punje ndogo ndiyo yanatoa unga mwingi
Kwa bahati nzuri hayo ndio MAHINDI yaliyo mengi kwa mwaka huu kwani yale yenye punje Nene kulikuwa na uhaba wa mbegu kwa msimu huu wa kilimo, hivyo wakulima wakalazimika kupanda mbegu hizo za punje ndogo.
 
Kwa hiyo tani moja ni laki 6 so tani 30 ni 18m gharama ya kusafirisha hadi dodoma tani 1 ni 120k so kwa tani 30 ni 3.6m roughly Milioni 4! Kwa hiyo mzigo ntakuwa nimeipata kwa 22m! Almost 71k kwa gunia. Siyo mbaya mzigo ukiwa wa uhakika na biashara ya uaminifu! Ila mkuu sasa ivi mahindi si hayajakauka vzr?
mahindi ya huku Ruvuma yote yamekauka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom