BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 364
- 816
Habari wanajamvi bila shaka Mungu anaendelea kumpigania kila mmoja wetu kwa namna ya pekee!
Niende kwenye mada moja kwa moja, ni hivi baada ya kuingia mzee baba nilishindwa kuendelea na biashara yangu sababu ya kushuka kwa mauzo, basi baada ya muda kupita nadhani bado matamanio ya kuwa na ofisi yangu baada ya kutoka kibariani bado yananiandama.
Mara hii nataka kuja na biashara ya kuuza vifaa vya pikipiki za mchina hasa Sanlg na Haoujue 125, sasa naomba kwa anayejua wapi naweza pata vifaa husika kwa bei ya chini kabisa ili niweze kufurukuta mbele ya walio nitangulia kwa mtaji wa million tano.
Zaidi, kuna baada ya bidhaa nimekuwa nikiona mitandaoni watu wanaunganisha nguvu na kununua moja kwa moja china, kama kuna huduma ya namna hii pia ningependa kuunganishwa, natanguliza shukwani zangu na Mungu atawabariki.