Wapi naweza pata pump za maji kama hii

Wapi naweza pata pump za maji kama hii

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
364
Reaction score
816
Naomba kupatiwa masaada wa wapi naweza pata pump za maji kama hii pichani kwa Dar au Mbeya pamoja na bei zake.
201305290645282.jpg
 
Nenda mitaa ya jamaat street na morogoro road,kisutu kuna maduka kibao yenye kudeal na product kama hizo...bei sijui
 
Back
Top Bottom